Natafuta management, kipaji changu kinaozea mtaani

Youtube imeharibu kila kitu..nyimbo zote watu wanadownload huko tena free of charge..sijajua wewe umejipanga vipi?
 
hiyo simple tu ni kuwapa taarifa kwamba nyimbo fulani haitakiwi kuwepo kwenye server zao due to copyrigtht protections....wanaitoa tu........kuna muvi kali kali huwezi ziona kwenye youtube mpaka uzinunue kwenye itune...
 
Sorry nimemtumia rechungula kimakosa nilimaanisha wewe ndugu computerkiddy kwamba tuwasiliane in box ili tukutane tupige kazi mkuu, hivyo unavyovihitaji ninavyo
 
this post made me to meet scammers trying to scam me......but i wasnt scammed

at the same time some one gave me working tools ie laptop..... dell latitude e5430 i5 ram 8gb and other dell desktop i3@3.3 ram 5gb with awesome monitor
currently am working on multi million project it is kind of geographical information system...... i will let you know when the project is done

thanks for your concern
 
Ntakutafuta uni code ishie gorgeous online app ya kuuza kuku wa kienyeji worldwide. Kuku wa kienyeji wanakuwa uploaded kwenye laptop halafu handsome money zinaingia kwenye account kupitia visa card etc
 
you welcome mkuu.......lini nkutafute
 
this post made me to meet scammers trying to scam me......but i wasnt scammed

at the same time some one gave me working tools ie laptop..... dell latitude e5430 i5 ram 8gb and other dell desktop i3@3.3 ram 5gb with awesome monitor
currently am working on multi million project it is kind of geographical information system...... i will let you know when the project is done

thanks for your concern

Vipi hii project ilifikia wapi ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom