Natafuta kiwanja

Njooo Chamazi hapa jirani na Azam stadium kiwanja 50m kwa 40up. M8 bila dalali.
 
Habar wadau?natafuta kiwanja kwaajil ya makaz kiwepo maeneo ya kimara mpk kibamba pia kuwepo na huduma za jamii kama umeme maji nk,kisiwe mbali zaid ya km2 kutoka barabara kuu ya morogoro rd.mwenye taarifa msaada.



Mkuu kuna Kiwanja Mbezi Luisi 20 X 20, sehemu safi, mwendo wa dk 16 kwa mguu kutoka barabara kuu ya Morogoro. Kipo kwenye njia ya kuelekea Kawe. Milioni 10.

Vipo vitatu, vina ukubwa sawa, chaguo ni lako wahi kabla hujachelewa
 
Barabara Imepita hapo mbele kama unavyo iona hapo mbele ya frem imechongwa vizuuuuuri
mmh hapo lazma wazee wa hapa kazi wakutembele siku moja wafyeke frem zote hizo kwa kudai umeingilia hifadhi yao, sishauri mtu kununua kiwanja cha aina hiyo zama hizi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom