AFRICAN BOYI

Senior Member
Dec 9, 2019
119
335
Habari zenu wakuu

Wakuu naombemi kazi yoyote ya halali huku mtaani sio poa. Huku kitaa nimepambana sana huku na kule lakn bado kugumu ila hatukati tamaa. Naombeni kwa yeyote mwenye kazi aniunganishe tafadhali, ata za viwandani sawa tu muhimu kupata chochote kitu.

Mwenye connection za saidi fundi itapendeza pia, maana za huku mtaani nimepiga ila changamoto unapiga leo kisha unakaa sana mpaka uje upate tena kazi. Sio mzuri kwenye kuandika ila angalau lengo langu limeeleweka, wakuu msaada wenu tafadhali.
 
Back
Top Bottom