emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 877
- 1,185
Natafuta kuwa winga wa simu mpya, kama unamiliki duka la kuuza simu mpya aina zote naomba kazi dukani kwako.
Sitaki uniajiri, ila utaniuzia simu kwa bei ya jumla ili na mimi nipate chochote. Mimi nitapambana kutafuta wateja ninakojua mimi. Simu zako ziwe bei kitonga kweli ili zitoke haraka.
Natanguliza shukrani.
0752042670