structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 907
Nakuunga mkono hasa baada ya kusoma hapo kwenye mabano.Kazi ni kazi tu mradi mkono uende kinywani(kazi halali)
Nakuunga mkono hasa baada ya kusoma hapo kwenye mabano.Kazi ni kazi tu mradi mkono uende kinywani(kazi halali)
Habar ndg zangu.
Mm ni binti nina umr wa miaka 24 ninaelm ya chuo diploma ya journalism,ninatafta kaz ya kufanya usaf maoficine mwenyekuweza kuniunganisha ama kunipatia ani pm
Pole sana kwa changamoto za maisha unazopitia. Ila nilikushauri utafute hata cheti cha kufundisha nursery schools labda unaweza pata chochote.Naomben hta ushaur tu nifanye nn walau mambo yaende kwa hali niliyonayo ningumu xna sna hta pakupata mia
Kama uko serious nipm dont pm me if your not seriousNaomben hta ushaur tu nifanye nn walau mambo yaende kwa hali niliyonayo ningumu xna sna hta pakupata mia
..utakuwa hulipi!..wa kukupamia wapo kibao tu!Naomben hta ushaur tu nifanye nn walau mambo yaende kwa hali niliyonayo ningumu xna sna hta pakupata mia
Mkuu busara ni jambo jema. Unadhani watu wanapenda kuweka wazi changamoto wanazopitia? Ukiona mtu anaweka wazi changamoto zake ujue hali ni mbaya kwahiyo jaribu kuwa na uta na usiweke maskhara kwenye mambo ya msingi kama haya. Jiulize tu angekuwa ndugu yako ungemshauri hivyo? Ungekuwa wewe ungefurahi kuambiwa hivyo? Tuache ubinafsi hakuna aneijua kesho yake kwahiyo kuwa muungwana tu...utakuwa hulipi!..wa kukupamia wapo kibao tu!
....hahahahaha...mkuu umeongea kwa busara sana kama baba paroko!Mkuu busara ni jambo jema. Unadhani watu wanapenda kuweka wazi changamoto wanazopitia? Ukiona mtu anaweka wazi changamoto zake ujue hali ni mbaya kwahiyo jaribu kuwa na uta na usiweke maskhara kwenye mambo ya msingi kama haya. Jiulize tu angekuwa ndugu yako ungemshauri hivyo? Ungekuwa wewe ungefurahi kuambiwa hivyo? Tuache ubinafsi hakuna aneijua kesho yake kwahiyo kuwa muungwana tu.
hahahahaa, nimekupata mkuu....hahahahaha...mkuu umeongea kwa busara sana kama baba paroko!
..huyo binti haitaji userious!...thread 1 anadai ana diploma,hapa kaishia kidato cha 4 ashauriwe kozi za certificate!...
..we endelea kumshauri,hatuwezi fanana mitazamo,ndo utamu wa maisha ulivyo!