IgKim
Member
- Jul 31, 2018
- 28
- 21
Mimi ni Mwalimu, nina diploma masomo ya chemistry na Biology uzoefu katika kufundisha ni miaka minne, nina uzoefu kwa primary schools kufundisha science and mathematics na secondary schools mwenye shule ama anaejua shule inayoitaji Mwalimu Tafadhali tushirikishane haswa shule za Arusha na Kilimanjaro.