Ontheway_06
Member
- Oct 11, 2024
- 8
- 14
Habari: Mimi ni mhitimu wa degree ya ualimu wa civil engineering,, Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi, kwa mawasiliano 0747541717.
Unaweza kufundisha masonry and bricklayingHabari: Mimi ni mhitimu wa degree ya ualimu wa civil engineering,, Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi, kwa mawasiliano 0747541717.
Ee naweza,, Nimeshawahi kuifundisha mwaka 2022 {Veta}Unaweza kufundisha masonry and bricklaying
Uko sehemu gani?Ee naweza,, Nimeshawahi kuifundisha mwaka 2022 {Veta}
Uko sehemu gani
Nipo Dar es SalaamUko sehemu gani?
Nimeku PMNipo Dar es Salaam
PM naifungua inaandika connecting..sijajua shida itakuwa wapNimeku PM
'degree ya ualimu wa civil engineering'.Habari: Mimi ni mhitimu wa degree ya ualimu wa civil engineering,, Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi, kwa mawasiliano 0747541717.
PM yangu inashida haifunguki,,,,nikijaribu kuifungua inaandika connecting.Njoo DM nikupe info Kuna chuo Moshi kinataka walimu
Technical Education in civil engineering(TECE)'degree ya ualimu wa civil engineering'.
Kwa kingereza hio bachelor inaitwaje boss.
Kwahiyo kaka unanisaidiaje?Njoo DM nikupe info Kuna chuo Moshi kinataka walimu
Bachelor of Technical education in civil engineering'degree ya ualimu wa civil engineering'.
Kwa kingereza hio bachelor inaitwaje boss.
Tumia chrome usitumue App.PM yangu inashida haifunguki,,,,nikijaribu kuifungua inaandika connecting.
Yaani msomi hivi kweli wakutafuta kazi...hii nchii ya ajabu sanaHabari: Mimi ni mhitimu wa degree ya ualimu wa civil engineering,, Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi, kwa mawasiliano 0747541717.
Bachelor of Technical education in civil engineering'degree ya ualimu wa civil engineering'.
Kwa kingereza hio bachelor inaitwaje boss.
Kwamba kazi ndo zimtafte yeye? Unadhan anesoma peke yake? Na kwa kumsaidia tu veta wanahitaji watu wenyew diploma tu.Yaani msomi hivi kweli wakutafuta kazi...hii nchii ya ajabu sana
Shukrani bro, tunajifunza kitu kipya kila siku.Bachelor of Technical education in civil engineering