Natafuta kazi ya kuchoma nyama kwenye hotel, restaurant au lodge

Victor Ndosi

New Member
Jul 9, 2022
1
1
Habari wadau wa JM Mimi ni kijana wa kitanzania npo Dar natafuta kazi ya kuchoma nyama kwenye hotel au restaurant.

Nina uzoefu mzuri na kazi hii .kwa ambae anatafuta mtu kwaajili ya kazi Kama hii anitafute kwa namba 0767718475.

Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom