Natafuta kazi ya Houseboy

dav_

Senior Member
Jul 15, 2023
113
392
Wakuu natafuta kazi ya Houseboy au kibarua chochote.
Nipo tayari kwa mshahara kuanzia laki 1 (malazi na chakula juu ya boss).

Kazi nazoweza kufanya usafi wote, kutunza bustani na garden, kulisha kuku au nguruwe, kuosha magari pia kuuza maduka nina uzoefu.

Hivyo naomba yoyote aliye tayari kunishika mkono anicheki PM

Asante
 
Wakuu natafuta kazi ya Houseboy mikoa ya Dar, Pwani au Dodoma. Nipo tayari kwa mshahara kuanzia laki 1 (malazi na chakula juu ya boss).

Kazi nazoweza kufanya usafi wote, kutunza bustani na garden, kulisha kuku au nguruwe, kuosha magari pia kuuza maduka nina uzoefu nk.

Nina umri wa miaka 25 kwa sasa. Elimu nimemaliza chuo lakini nipo tayari kufanya kazi hizo hapo juu nijitafute.
Nimetafuta kibarua tena baada ya kujiajiri mwaka jana lakini changamoto zilinipata hivyo nimejikuta kama naanza maisha upya, ni ngumu sana kuelezea hapa.

Hivyo naomba yoyote aliye tayari kunishika mkono anicheki

Asante
Usisahau maombi na Sala. Mungu akutangulie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom