Natafuta kazi sipati, msaada jamani

Alafu magu anahangaika na wacheza pul badala atengeneze ajira kwa vijana kama alivyojinad! Bila kuwa na refa au kujuana wenye vitengo utakaa xna.
 
Ndugu yangu pole sana ni watanzania wanajamii forum wachache sana watakaoguswa na shida zako.. Wengi humu ni wanafiki wanaojifanya kukusaidia kumbe wanakucheka na msaada hupati.... Pia matapeli kupitia thread yako wataona pa kipitia....

Ninakushaur utafute kazi yoyote ile either iwe ni ya taaluma yako au la as longer as iwe ni kazi halali bila kuangalia kiasi cha malipo ya mshahara...ukipata sehem pa kujishikiza nirahis kupata na kukutana na chanels nyingine......

Kwa mfano nenda mitandao yote ya simu kakutane na hr uombe kazi ya kuwa customer service officer.....

Mind you matatizo yako ni fursa kwa wengine... Kuna matapel humu watayageuza matatizo yako kama sehem ya kukulangua.... Wake Up brother....

Kama upo dar nenda posta house kuna Ngo Inaitwa c-sema kaombe kuvolunteer tena face to face na afisa mirad anaitwa Kengoh.. Kuwa muwaz atakusaidia..... Huwa wanatoa hela ya nauli si haba ukiwa na malengo yako.... Jitahid kutembea Ngo za level ya kati ambazo hazina competition kubwa kwenye suala la ajira n.k
..kuwa bize
Ila nakusih tena jamii forum ya sasa si kama ya zaman.... Kuwa muangalifu kwa kuweka hyo namba ya simu.....

.nikutakie ufanisi mzur
 
habari zenu wanajamii forum
nimekuwa nikituma maombi ya kazi kwa muda mrefu sana lakini naona bado sipati hizo kazi sasa naomba ushauri kwani wenzangu mnatumia njia gani maana mambo kwangu yanakuwa magumu sana.....nina elimu ya chuo kikuu hata kwa yeyoye atakayesikia mchongo mm nipo kilimanjaro anistue namba yangu ni 0714921363
habari za jioni ndug, pole na harakati za kutafuta kazi , fikiria kitu mbadala cha kufanya wakati ukisubiri kupata kazi rasmi, namaamnisha tafuta mtaji ujiajiri huku ukisubiri mambo yakae sawa.
 
habari zenu wanajamii forum
nimekuwa nikituma maombi ya kazi kwa muda mrefu sana lakini naona bado sipati hizo kazi sasa naomba ushauri kwani wenzangu mnatumia njia gani maana mambo kwangu yanakuwa magumu sana.....nina elimu ya chuo kikuu hata kwa yeyoye atakayesikia mchongo mm nipo kilimanjaro anistue namba yangu ni 0714921363
INAONEKANA HATA KWENYE BARUA ZAKO UNASHINDWA KUJIELEZA..UNAELIMU YA CHUO KIKUU NDO NINI
 
habari zenu wanajamii forum
nimekuwa nikituma maombi ya kazi kwa muda mrefu sana lakini naona bado sipati hizo kazi sasa naomba ushauri kwani wenzangu mnatumia njia gani maana mambo kwangu yanakuwa magumu sana.....nina elimu ya chuo kikuu hata kwa yeyoye atakayesikia mchongo mm nipo kilimanjaro anistue namba yangu ni 0714921363
Kuna muda hata thread ya msom huwa nyepes kama ya std seven...why usingeandika kabisa umesomea nn mwaka gan chuo gan...n.k ...unangojea mtu aulize ndio umjib...huenda hata kwenye cv huandika hiv hiv...kingine hebu wacha kukaaa na kungojea ajira tumia elimu yako kujikomboa ulipo kuna fursa kibao ....zama zaid kwenye social media utafute fursa ambao haitumii mtaji mkubwa na zipo nyingi sana
 
habari zenu wanajamii forum
nimekuwa nikituma maombi ya kazi kwa muda mrefu sana lakini naona bado sipati hizo kazi sasa naomba ushauri kwani wenzangu mnatumia njia gani maana mambo kwangu yanakuwa magumu sana.....nina elimu ya chuo kikuu hata kwa yeyoye atakayesikia mchongo mm nipo kilimanjaro anistue namba yangu ni 0714921363
Kila kitu kinaanzia kwenye CV. Tafuta mtaalam akushauri namna ya kuandika CV inayovutia waajiri. Pia kuna resource nyingi kwenye internet kuhusu nmana ya kuandika CV na hata maswali ya interview (Sample) yapo.
 
Ingia mitandao mbalimbali na ujiregister like zoom Tanzania... Fanya connection na watu uliomaliza nao chuo na waliokutangulia....
Tuma cv kwenye mashirika mbalimbali....

Usikate tamaa siku yaja...
 
Back
Top Bottom