Tuwasiliane kama utaweza kazi ya kufundisha na nyinginezo-0717157640Habarini wana JF
Natafuta kazi maeneo ya Moshi.
1. Stationery
2. Supermarket
3. Sheli
Elimu yangu: Nimehitimu Chuo Kikuu
Naombeni connection
Pia kama kuna kazi nyingine naweza fanya