Habari wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 na muhitimu wa SHAHADA YA ELIMU KATIKA SERA, MIPANGO NA UTAWALA. Pia, ni mwalimu wa masomo ya JIOGRAFIA NA KISWAHILI.
Natafuta kazi kwenye mashirika na taasisi mbalimbali zinazohusiana na taaluma yangu, nawaombeni wana JF kwa yeyote anayeweza kunitafutia au kuniunganisha na sehemu nayoweza kupata kazi anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu kwa wana JF wote. Kwa yeyote mwenye ushauri au msaada wowote juu ya ombi langu napatikana Dar es salaam.
Simu: 0654073693