decent girl
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 302
- 139
- Thread starter
- #21
Jipe moyo mungu yuko pamoja nawe
asante ndugu
Jipe moyo mungu yuko pamoja nawe
Habari za Leo wapendwa, Mimi ni msichana mwenye miaka 24 elimu yangu ni kidato cha NNE .
Kwa heshima na taadhima naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata kaz inayoendana na elimu yangu. Nina Basic certificate ya Hotel Management .
Pia Nina uwezo wa kutumia computer . Kazi ambazo Nina uzoefu nazo ni pamoja na;
1. Receptionist( Nina uzoefu wa Mwaka mmoja na nusu).
2: Cashier kwenye gaming machines kwa mwaka 1.
3: Promo girl, sales and Promotion.
Lakini pamoja na hayo kazi zingine ambazo ni halali naweza kufanya kama usafi maofisin n.k.
NATANGULIZA SHUKRANI .
NIPO DAR ES SALAAM. MUNGU AWABARIKI SANA.
Ni pm namba yako kama bado hujapata kazi,
Kila la kheri, Ni maisha tu haya.
Maneno ya hekimaMUNGU mkuu muumba wa mbingu na nchi akusaidie ktk hitaji lako
Amen mkuu.Maneno ya hekima
Maneno ya hekima
Vp baba tuambizane kama kuna ishu hzoNi pm namba yako kama bado hujapata kazi,
Sometimes busara itumike,si masihara jamaniKulingana na elimu yako, hauwezi kuwa unashinda nyumbani kwangu kuniangalizia nyumba?
Sometimes busara itumike,si masihara jamani
Kwa NEEMA na REHEMA za mwenyezi MUNGU ukubariki ufanikiwe hitaji lako mpendwa wangu,wetu.
AminaUtapata, endelea omba
Check me 0752-109265Hàbari za asubuhi ndugu zangu bado natafuta cjapat. I need your help
Hàbari za asubuhi ndugu zangu bado natafuta cjapat. I need your help[/QUOT
be tolerent guy..Unataka upate ndani ya siku 3 ama?
Check me 0752-109265
Endelea kutafuta mkuu.!!wakuu bado natafuta