kazi ya ofisin ndio kaz gani hiyo?Habari zenu
Natafuta kazi ya ofisini lakini pia nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,mimi ni mwanamke,naishi arusha,nina miaka 33, elimu yangu ni certificate of human resource.
Natanguliza shukrani zangu.
arusha sehem ganiHabari zenu
Natafuta kazi ya ofisini lakini pia nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,mimi ni mwanamke,naishi arusha,nina miaka 33, elimu yangu ni certificate of human resource.
Natanguliza shukrani zangu.
usimkatishe mwezio tamaa, hivi unajua machungu yakuwa joblessJiandae kugeuzwa kisusio
tUWASILIANE KAMA UTAWEZA FANYA KAZI YA KUFUNDISHA 0717157640Habari zenu