Natafuta darasa zuri Karate kwa ajili ya Self defence

Mkuu nipo brown belt 2 kyu ilitakiwa nifanye mtihani wa kwenda 1 kyu but niliumia goti kwenye mashindano mwaka jana so now bado nauguza goti japo nafanya mazoezi si wajua kitu kikiwa kwenye damu, ww wacheza upi mkuu
Mkuu Rommy upo belt gani?Mimi pia ni mwanasanaa mwenzio.
 
Mkuu nipo brown belt 2 kyu ilitakiwa nifanye mtihani wa kwenda 1 kyu but niliumia goti kwenye mashindano mwaka jana so now bado nauguza goti japo nafanya mazoezi si wajua kitu kikiwa kwenye damu, ww wacheza upi mkuu
Mimi nafanya shotokan pia japo nilistop kidogo miaka kadhaa nyuma nikiwa bado junior kutokana na movement za hapa na pale so nikashindwa kuendelea katika form .nzuri ila nikawa najifua mwenyewe kimtindo tu,natarajia kurudi darasani mda si mrefu ili niendelee katika mlolongo unaofaa.Pia nimefanya taekwondo kidogo na kombat karate kidogo.
Ulipata injury yale mashindano ya dodoma?
 
Jamani martial art inafundishwa wapi Dodoma?
Ukihitaji shotokan karate,nenda pale kilimani bar kuna dojo inaitwa kilimani shotokan karate do dojo.Maeneo ya dodoma hotel kwa juu.
Ukihitaji Goju ryu fika uwanja wa vijana Area D pale,wapo vizuri sana.Miaka kadhaa nyuma walishtua ankle wale
 
Hapana ni mashindano yalifanyika shule ya msingi osterbay chini ya shirikikisho la SKIF karibu sn bro nafatilia ukumbi mitaa ya Africana hv au jogoo yaan hii barabara ya bagamoyo road , nataka nianze mdogo mdogo ila chini ya sensei wangu losso (black belt 2 dan ) mshind mara 3 mfululizo upande wa SKIF
Mimi nafanya shotokan pia japo nilistop kidogo miaka kadhaa nyuma nikiwa bado junior kutokana na movement za hapa na pale so nikashindwa kuendelea katika form .nzuri ila nikawa najifua mwenyewe kimtindo tu,natarajia kurudi darasani mda si mrefu ili niendelee katika mlolongo unaofaa.Pia nimefanya taekwondo kidogo na kombat karate kidogo.
Ulipata injury yale mashindano ya dodoma?
 
Hapana ni mashindano yalifanyika shule ya msingi osterbay chini ya shirikikisho la SKIF karibu sn bro nafatilia ukumbi mitaa ya Africana hv au jogoo yaan hii barabara ya bagamoyo road , nataka nianze mdogo mdogo ila chini ya sensei wangu losso (black belt 2 dan ) mshind mara 3 mfululizo upande wa SKIF
Sawa mkuu,nitakaribia.
 
Back
Top Bottom