Natafuta bajaji mpya TVS

Ina maana anafanya kazi kwa siku 6
Siku moja huwa inaachwa free ndani ya wiki,ili kumpatia Driver muda wa Ibada,na kufanya service ndogo,na pia kumpa muda wa Driver kutembelea ndugu jamaa na marafiki
Jua pia Driver ni binaadam,na anakumbwa na mengi ya kifamilia,sio awe wiki nzima anakufanyia kazi wewe bila kujali na yeye kwamba anafamilia,kuna dharura za kuona wagonjwa,misiba nk,lazima ulitambue hilo.
Sasa siku hiyo moja anaweza mwenyewe kuamua kupiga kazi na kupata pesa pia sio mbaya.
 
Upo vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom