FravoB

Member
Jun 21, 2024
22
59
Habari zenu watanzania wenzangu.

Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma na uandishi na utangazaji wa habari.. hivyo natafuta kazi ,, ujuzi ninao wa.miaka miwili

Pia , nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Mtusaidie jamani maana ajira za wanahabari zimehamia kwa wasanii na watu maarufu. Meneja wa jamiiforums na watu binafsi naombeni mtusaidie kutupatia taarifa humu ambao hatuna ajira Wala mitaji. Tukumbukane na kwa maombi pia,, Asanteni 🙏
 
Kama unaweza content creation na kutumia AI kufanya mambo kisasa tunaweza kukuunganisha na mtu binafsi anayetaka kuanzisha channel ya mtandao.
 
Mie naweza niunganishe
Sasa Kama humu mtandaoni post nimetuma Mimi na unaona bahati Yangu imejitokeza ya Nini kuingilia Kati. Tukifanya wote kazi si utanifanyia figisu ili ubaki wewe. Kama unataka kazi kuwa wazi kwa post yako update riziki yako jamani. Labda Kama ningesema siwezi ndo unitokeze useme unaweza ndugu Yangu. Sio kunikatia kamba njiani
 
Habari zenu watanzania wenzangu.

Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma na uandishi na utangazaji wa habari.. hivyo natafuta kazi ,, ujuzi ninao wa.miaka miwili

Pia , nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Mtusaidie jamani maana ajira za wanahabari zimehamia kwa wasanii na watu maarufu. Meneja wa jamiiforums na watu binafsi naombeni mtusaidie kutupatia taarifa humu ambao hatuna ajira Wala mitaji. Tukumbukane na kwa maombi pia,, Asanteni 🙏
Boni Yai na MMM wamejiajiri, jiajiri.
 
Back
Top Bottom