Natafta mtaji wa kuanzisha kilimo dar es salaam, kisiju (Iam seeking for a capital to start farming business in dar es salaam, kisiju)

ADESIGN

Member
Apr 8, 2020
31
28
Habari Naitwa Aisha. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nimeazimwa heka 11 za kulimia tu, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba kisima. Naombeni msaada sana ( 0684101707 )note: siombi hela jamii forum :kwa ambae anataka full details please anitafte tuwasiliane
 
Habari Naitwa Aisha. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nina eneo la heka 11, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba kisima. Naombeni msaada sana ( 0684101707 )
Mbona hujaeleza ni mtaji wa Tshs ngapi unaouhitaji?
 
Hizo heka za shamba nimepewa tu za kulima sio zangu,
Ooh okay sawa, hongera kwa kupewa shamba...kwahiyo wahitaji kupewa na mtaji Aisha

Kama unalima mwenyewe anza kidogo kidogo, hapo juu jamaa kakushauri mboga mboga....ukilima mboga wiki tatu tu unaanza kuvuna hapo utaanza kupata mtaji.
 
Milioni kumi naweza anzisha hiyo biashara, maana eneo halina hata nyumba ya kuishi hata kisima
Yaani sister umekuja jamii forum kuomba 10M daah hata uogopi unaitaja tu hiyo 10M😠 sizan kama kuna mtu anaweza kutoa pesa zake kirahisi hivyo
 
🤔 Duh kwahiyo wanajf tukuchangie milion 10
Watu wajinga Kama nyie mnaitumia hii platform vibaya .

Kitu ambacho ungemshauri ni kumwambia aandae project proposal ambayo itaonesha the all costs

Then kupitia hiyo proposal watu waone how they will be benefited from that project

Ili watu watoe hela baada ya kuhakikishiwa returns zao with interest

Majibu Kama yako yanaashiria jinsi ambavyo ni useless person ambaye haujitambui
 
We ambae sio mjinga huo ushauri wako wa project propasal uko wapi???
 
Yaani sister umekuja jamii forum kuomba 10M daah hata uogopi unaitaja tu hiyo 10M😠 sizan kama kuna mtu anaweza kutoa pesa zake kirahisi hivyo
Sivyo ulivyoelewa wewe, siombi hela jf.. labda ungeuliza kwa undani
 
Sivyo ulivyoelewa wewe, siombi hela jf.. labda ungeuliza kwa undani
Nadhani ingekuwa ni vyema kama ungeeleza vizuri ni:-

1. Kitu gani unataka?. Unataka wawekezaji au mkopo au ni nini hasa ambacho unahitaji hadi kikakupelekea kuweka uzi humu ndani.

2. Ni namna gani mtoa msaada atanufaika na msaada atakao utoa. Hapa inabidi uweke mchanganuo wote wa huo mradi wako. Unatakiwa uonyeshe mchanganuo ambao utafanya watu washawishike kutoa msaada unao uhitaji.

3. Ni hatari gani zinaweza kuukabili huo mradi wako. Na ni njia zipi utazitumia kukabiriana na hatari hizo.

Ila ukitaka usibiri mpaka watu wakuulize maswali ndio uanze kutoa mchanganuo wa aina ya msaada unaotaka, aisee hapo utakuwa hauna utofauti na mtu ambaye anasubiri usafiri wa meli stendi ya Magufuli.
 
Mtaji wa kilimo huwa ni nguvu na uamuzi. Hama mjini nenda kuishi shamba hapa mjini ondoka na Jembe & shoka. On the process utaendelea kulingana na malengo yako.
Hayo ndiyo tunaita maamuzi magumu.
 
Back
Top Bottom