Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,731
Ukianza kupiga ramli muda di mrefu utakua mchawi,pole yako
Kaamua kumrisi shehe yahayaKwa hiyo umekuwa Mpiga ramli, aisee na kweli hiyo kazi inakufaa sana
Haya tuma salamuNdugu wa Tanzania, mim nilie kuwa mwanachama wa chadema tangu nikiwa chuo na mpaka pale chadema ilipo badilika kuwa chama cha wapiga deals. Nimeona nitabiri yakuwa chama hiki kimekosa dira na ushawish kwa vijana na hata wazee. Nimtu mjinga anaweza kufikiri eti chama bora tanzania tena cha upinzani ni chadema. Mim nasema hakuna kitu kama hicho. Labda niwakumbushe yakuwa Mh Lowasa alipo ingia chadema ali ingia kwa ajenda ya siri tena siri kubwa sana. Mchezo wa siasa ni mchezo wa hatari na wana ccm wanaujuwa kuliko mtu awaye yeyote ktk vyama vya upinzani na ndio maana cc tulio bahatika kujuwa haya tunasema chadema inaenda kumeguka kama sii vipande vitatu basi viwili. Mfano mzuri ni team Lissu ndan ya hiki chama na team Mbowe. Uzuri nikwamba mbowe ni kijana mdogo tangu darasani mpaka kwenye siasa hawez kumfikia Lissu. Nguvu ya Mbowe ni uchama ulio jikita ktk pesa na famil histor. Hiki sio chama cha watu ni chama cha mtu ndani ya Watu, nahili nijambo la hatari limekuja kujulikana. Mh Lowasa hana mapenz yoyote ya hiki chama ila nataka kuwahakikishia huyu mzee angetaman kuona hiki chama ambacho kilitumika kumchafuwa taifa lote siku moja kinakuwa either chama chake au anakigawa kuwa vipande wote wakose. Nahii ndio siri nzito inaendelea. Usione thread zimeandikwa eti ccm wamepagawa kwa uteuz wa Vicent kuwa katibu mkuu. Huo ni uongo mkubwa nikinyume chake maana ccm ni majemendari wasiasa na wanajuwa mahal pakushika kwa kila chama. Kwa kumalizia chadema lazima isambaratike bila shaka ktk wakat ambao mim na wewe hatuto amini.
Ha ha ha.. Anakumbuka utabiri wake kwamba Cdm ingekufa 2013.. Matokeo yake Cdm imemuua yeye kisiasa.. Anajuuuuta kutoa utabiri ule..Watabiri wa ccm mnachosha sana, haaa taja mwaka na wewe lini kitakufa? Mzee wasira anawaangalia tu wwafuasi wake na kuwahurumia.
Mkuu na alietumika kumuua ni binti mdogo sawa na kitukuu chake aibu hii hana hamu na chadema. Kakimbilia mahakamani nako binti kamgaragaza babu, amevurugwa vibaya sana, msamiati wa kifo hauelewi.Ha ha ha.. Anakumbuka utabiri wake kwamba Cdm ingekufa 2013.. Matokeo yake Cdm imemuua yeye kisiasa.. Anajuuuuta kutoa utabiri ule..
Sasa kama umeweza kuwataja chadema kwann usi ainishe na hao waanzisha migomo!!??? Nass tuwajue.. Au mihemko ya chuki imekujaa. Ivi uwezi kukata kiuno mpaka uwataje chademaChadema ndio waendesha migomo wakubwa vyuoni tena msitake kuleta pua tutawataja wote pambavu.
Ndugu wa Tanzania, mim nilie kuwa mwanachama wa chadema tangu nikiwa chuo na mpaka pale chadema ilipo badilika kuwa chama cha wapiga deals. Nimeona nitabiri yakuwa chama hiki kimekosa dira na ushawish kwa vijana na hata wazee. Nimtu mjinga anaweza kufikiri eti chama bora tanzania tena cha upinzani ni chadema. Mim nasema hakuna kitu kama hicho. Labda niwakumbushe yakuwa Mh Lowasa alipo ingia chadema ali ingia kwa ajenda ya siri tena siri kubwa sana. Mchezo wa siasa ni mchezo wa hatari na wana ccm wanaujuwa kuliko mtu awaye yeyote ktk vyama vya upinzani na ndio maana cc tulio bahatika kujuwa haya tunasema chadema inaenda kumeguka kama sii vipande vitatu basi viwili. Mfano mzuri ni team Lissu ndan ya hiki chama na team Mbowe. Uzuri nikwamba mbowe ni kijana mdogo tangu darasani mpaka kwenye siasa hawez kumfikia Lissu. Nguvu ya Mbowe ni uchama ulio jikita ktk pesa na famil histor. Hiki sio chama cha watu ni chama cha mtu ndani ya Watu, nahili nijambo la hatari limekuja kujulikana. Mh Lowasa hana mapenz yoyote ya hiki chama ila nataka kuwahakikishia huyu mzee angetaman kuona hiki chama ambacho kilitumika kumchafuwa taifa lote siku moja kinakuwa either chama chake au anakigawa kuwa vipande wote wakose. Nahii ndio siri nzito inaendelea. Usione thread zimeandikwa eti ccm wamepagawa kwa uteuz wa Vicent kuwa katibu mkuu. Huo ni uongo mkubwa nikinyume chake maana ccm ni majemendari wasiasa na wanajuwa mahal pakushika kwa kila chama. Kwa kumalizia chadema lazima isambaratike bila shaka ktk wakat ambao mim na wewe hatuto amini.
HATA VYAMA VYOTE VYA UPINZANI VIKIFA NCHINI,KUINGIA CCM NI BORA KUPIGWA RISASI NIFE KULIKO KUWA NDANI YA
CHAMA KINACHOSABABISHA WATZ KUWA WAKIMBIZI NCHINI MWAO,REJEA LOLIONDO 2008 MIEZI YA JULY HADI SEPT HAPO.
VIKIFA VYOTE NITAANZISHA CHA KWANGU,HATA KAMA NITAKUWA MIMI MWENYEWE,MKE NA WATOTO WANGU KULIKO CCM.
Walikupa like nyingi ila leo unasemaje utabiri huu ni 2016 leo umetimia. Mim sio wakawaidaKwa hiyo umekuwa Mpiga ramli, aisee na kweli hiyo kazi inakufaa sana
October sio mbali... hahahaWalikupa like nyingi ila leo unasemaje utabiri huu ni 2016 leo umetimia. Mim sio wakawaida