Nasikia kama huna GPA ya 3 sahau kuwa Mwalimu wa sekondari

Nendeni private wanakookoteza walimu hata wasio na taaluma hiyo huko mtapata kazi japo si kazi ya kudumu na mshahara wake ni mdogo mpaka utaukimbia mwenyewe kuliko kupoteza maarifa yote ya ualimu uliyoishia kupata hiyo gpa isiyotakiwa
 
Nendeni private wanakookoteza walimu hata wasio na taaluma hiyo huko mtapata kazi japo si kazi ya kudumu na mshahara wake ni mdogo mpaka utaukimbia mwenyewe kuliko kupoteza maarifa yote ya ualimu uliyoishia kupata hiyo gpa isiyotakiwa
Sidhani kama GPA inazingatiwa ni uongo
 
Siasa huinua na pia siasa hushusha. Siasa haina consistence constant, leo hivi kesho vile. Ni bora mtu binafsi akajielewa anaweza kufanya nini kupata kipato ili kuboresha maisha yake
 
Haya mambo sijui ni DIVISION au GPA huwa hayana uhalisia wa kile mhitimu alichojifunza na kujifunza shuleni na chuoni, ni matokeo tu ya mtihani mmoja tu wa mwisho utakachopata alama/maksi ndio huchukuliwa kuwa ni kipimo cha uwezo wako wa kumudu stadi na maarifa hayo kumbe ni upuuzi tu. Ukifanya mitihani miwili, mitatu au minne utapata matokeo tofauti. kuna mtihani utapata maksi nyingi na kuna mtihani utapata kidogo. Huwa haijulikani matokeo utapata maksi kiasi gani kwa mtihani mmoja ambao ndio hutoa hatma ya muelekeo wako kitaaluma na ajira kulingana na kiwango cha ufaulu kilichowekwa
 
Hii sio Sawa. Bora iludishwe tamisemi tuu. Nimesikia utaratibu wanaotaka kuutumia Sasa hivi ni kama ule wa kufundisha chuo àmbapo Kwa chuo kama huna GPA kuanzia 3.8 huwezi kuwa Mwalimu wa chuo.
Hiyo ni kuludishana nyuma. Wangesema mapema tangu tuko chuo. Huu uonevu. Bola watufikilie na sisi wenye 2.8
""It's just you don't have qualifications and you need an excuse""
 
Back
Top Bottom