Nashindwa kuelewa ana maana gani kunipa zawadi ya kondomu

Mapenzi yenu ya kisasa haoo, kwa hiyo hapo kuchepuka sio kosa ila kutokumia kondo ndio kosa. kwa hiyo hata yeye ikibidi anatumia
Yah mkuu! Kama anatumia ndomu mzuka tu maana Mimi mwenyewe kwake ni mwendo wa ndomu tu hakuna cha nyama kwa nyama
 
Mzuri eh! ila usiwe mkali ukikuta pia nae anabanduliwa
Mkuu nikikuta anapigwa cha kwanza kuangalia ni kondomu kama wametumia.

Kiukweli Mimi mademu zangu huwa napenda sana kuwashauri wawe wanatumia ndomu hata kama ikitokea anasaliti awe anahakikisha huyo anaefanya nae awe amevaa ndo.
 
Kama ni hivyo mkuu wala hakukuwa na sababu ya wewe kushangaa na kujiuliza kwa nini umepewa hiyo zawadi
 
Hajawahi kufanya hivo aisee mkuu tangia tukutane ndiyo maana halafu mademu wachache sana kama huyu wangu wanaeza kufanya huo ujasiri.
 
anajua huwezi kuvumilia wiki, kuna wanaume hata siku2 hawezi

inaonekana na wewe kitombi tombi
kwahiyo kakupa kinga...
 
Mkuu hizo alokupa usizitumie kabisa hata ikatokea emegency nunua zingine utumie huenda kuna alma ameweka kama mtego wee kama vp rudi nazo hvyo hvyo
 
Habari wana MMU.

Ni kwamba juzi nilimwambia mpenzi wangu kuwa nina ziara ya kwenda Dodoma kikazi kama wiki moja hivi. Hiyvo basi jana asubuhi alikuja tukashinda wote na mpaka leo asubuhi naondoka amenisindikiza kidogo tu akarudi. Sasa wakati anarudi akaniambia kuwa kwenye begi nimekuekea zawadi yako ila hakutaka kusema ni aina gani ya zawadi. Nikajaribu kumuuliza kwa lugha ya upole ile aweze niambia ni zawadi ila akawa mgumu kusema basi nikwambia ahsante kwa zawadi natumai itakuwa nzuri queen wangu.

Baada ya kupiga hatua kidogo nikafungua zawadi hiyo iliyowekwa kwenye bahasha ya kaki ndogo hivi. Zawadi yenyewe ni Condom pakiti mbili. Kiukweli imesababisha nikacheka sana na kuhisi kuchoka.

Hakika nimeshindwa kumuelewa sio siri ndugu zangu.Je haniamni au imekuwaje mpaka amepata ujasiri wa kufanya hivo?
Nikimuuliza kamaanisha nini au kwanini kafanya hivo anabaki cheka tu. Je hiki kitendo kimekaaje wana MMU?
Anakujali sana, huna budi kushukuru, maana anajua ulivyo mchepukaji
 
huyo anakupendA ndo maanA anatanguliza ulinzi kwako kwan huko dom madadA poa weng.wenyew wanakuambia kama unampeda utamlindA kwahyo hakuna cha kustaajabu w
 
kwa mwanamke kama huyo anajua una dem nje or u are mostly likely to f**k around..so incase ukipitiwa, baba usalama kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom