Narudia tena, ni nani wapanga mipango wa Tanzania?

Population ya mwanzo sio kama ya sasa, hela yetu imeshuka thamani na vitu vimepanda bei mfuko wa mbolea mwaka 2012 sio sawa na mwaka 2016
Population haijaongezeka nusu ya idadi yetu ya 2015/2016. yaani hiyo ingekuwa hoja kama tungetoka milioni 50 na kufikia milioni 75 kwa muda wa mwaka mmoja (2015/2016 hadi 2015/2017). dola pia haija panda toka 1900/- hadi 2850/- kwa muda wa mwaka mmoja. sababu hiyo sio nzuri.
Nimechukua huo mwaka sababu ndio tumetoka kuwa na chakula na ghafla ikaja njaa baada ya kuacha kutilia mkazo wa sera ya kilimo kwanza (kwa mujibu wako).
 
Uzuri wa namba haziongopi bwana. Ndio maana nilikuwa nakudai takwimu kwa msisitizo. Population growth rate yetu sio ya kiwango cha nusu yetu ndani ya muda wa miaka 5 au mwaka 1. Hata exchange rate haijapaa hivyo. Uzuri ni kwamba 2012 hadi sasa dola haijapanda kufikia nusu yake ya wakati huo. Na kama haujui huko vijini kuna watu walipewa mbolea awamu hii ya 2016/2017 hawakuimaliza au hawakuisambaza itakiwavyo wakaanza kuuza kwa magendo. Upo ushahidi wale maafisa waliopewa dhamana hii huko vijijini wanaitumia vibaya.
 
Kwa dollar tu kuna gap zaidi ya 580 Tshs sasa calculate
 
Mkuu mimi nilitegemea utakuja na hoja kwamba bajeti 2016/2017 serikali haikupeleka fedha yote iliyopitishwa ktk bajeti. Utekelezaji ulikuwa mdogo sana pengine hata wizara hii ya kilimo haikupewa hata nusu ya hizo fedha(nasisitiza kama hawakupewa yote, mimi sijafuatilia). Labda hii ingekuwa hoja yenye mashiko sana kutetea hoja yako kwamba serikali haikutenga/kuipeleka fedha ya kutosha ktk sekta ya kilimo.
 
Naona haujarekebisha comment yako kama nilivyokusihi sasa ngoja nianze kukuonesha udhaifu wako kuthibitisha wewe ni BURE tena mwenye majivuno ya KIPUMBAVU.
1. Mimi ndio nimesifia sera za kilimo kwanza ziliondoa njaa au mleta mada kuu?
JIBU: Mleta mada kuu (thread) ndio kasema hivyo.
Je wewe umetoa wapi hoja ya kwamba mimi nimesema Sera ya kilimo ilitegemea mvua za asili? Hukuona nazungumzia upungufu wa chakula haukutokana na kuitelekeza au kuipuuzia sera ya kilimo kwanza? Kama kweli analosema mleta mada huoni kwamba kilimo kwanza kilikuwa mafanikio kuliko sasa ilipotelekezwa(kama kweli kwa mujibu wa mleta mada)?
2. Umesoma sera ya kilimo kwanza yote ukaelewa mikakati iliyopo humo au unachambua kwa hiasia bila kukijua unachokikosoa au kukisifia? Je sera hiyo imezungumzia nini kuhusu kilimo cha umwagiliaji au cha kutegemea mvua ya vipindi ya asili?
3. Je wewe umefanya mipango gani kupunguza tatizo la njaa?
Mimi nimefanya kilimo cha umwagiliaji na nimelima mara tatu ndani ya mwaka mmoja hadi hizi mvua za masika ndio nimeacha kulima sababu mazao yangu hayahitaji mvua nyingi na karibuni naingia shambani tena zikiisha mvua. Hivyo nina jadili kitu ninacho kifanya kwa vitendo. Je wewe unazijua changamoto anazopata mkulima wa kilimo cha umwagiliji? Ni rahisi kukaa ofisini au nyumbani unakula chakula cha bure au upo chuo unapata chakula kwa fedha ya mkopo wa serikali unaona kila kitu rahisi nyuma ya keyboard/keypad na unaona wenzio hawafikirii vizuri kama wewe.
Bure kabisa! Sio wewe umesema tatizo la njaa halikusababishwa na kufeli kwa sera ya Kilimo bali ni kukosekana kwa mvua za kutosha za masika na vuli? Hujasema hivi? Unadhani upo sahihi? Kwamba njaa ya mara kwa mara nchini inasababishwa na kukosekana mvua za kutosha na sio kufeli kwa sera za Kilimo? Kwanza wewe ni level gani ya elimu? Isije ikawa ninalumbana na Libashite!
 
Mkuu ukiandika inabidi utulie vizuri!

Swali umeuliza nani anapanga mipango ya Tanzania, Halafu ukaongelea kilimo kwanza kama mbiu, ukamalizia na kusema viwanda ni sera!

Mimi napata wakati mgumu nijadili kipi; maana mipango, sera na kauli mbiu ni vitu vitatu tofauti na utekelezaji wake pia uko tofauti!
kaili mbiu siku zote inatyokana na sera,hilo liko wazi duniani kote
 
Mkuu kwa uchambuzi wako wa kusema njaa imesababishwa na kutelelekezwa sera ya kilimo ni kujitia aibu. Unaangalia taarifa za idara ya hali ya hewa? Unasoma habari mbalimbali na kuangalia taarifa za habari? Umewahi kulima? Tatizo la upungufu wa chakula limetokana na badiliko la hali ya hewa na tabia nchi. Mvua za vuli hazikunyesha za kutosha na sehemu nyingine hazikunyesha kabisa. Na mvua za masika zilichelewa kwa baadhi ya mikoa. Tafadhari fanya tafiti kabla ya kuanza kuandika uongo.
hakuna nchi duniani inategemea mvua kustawisha mazao,ndio maana Tanzania kuna Wizara ya kilimo na Umwagiliaji lengo ni kupambana na mabadiliko ya hali ya hela kutotegemea kilimo cha maji ya mvua.
 
Mleta mada kwanza nashukuru umeleta hoja ambayo inaweza kuamsha mjadala ambao utasaidia kutatua au kupunguza tatizo. Ningependa tujadili tatizo la masoko kwa maana hiyo itatusaidia kuimarisha sera au mkakati wa viwanda. Ni ukweli ulio dhahiri ukijenga viwanda vya kuchakata bidhaa za shamba(mazao) utaongeza soko la hizo bidhaa na uchumi wa wakulima utaimarika. Hiyo itapelekea kupanuliwa kwa mitaji ya kilimo na ulimaji wa mazao mbalimbali tofauti na yale ya biashara tu. Tukilima na kuvuna sana lakini hakuna soko la uhakika la ndani nguvu zetu zitapotea bure. Mara ngapi tunaona nyanya zimeharibika lakini vingeongezeka viwanda kama Dabaga na Red Gold nyanya zingechakatwa na kuuzwa hadi nje bila kuharibika. Huo mfano mmoja tu lakini ipo mingi sana. Masoko ni tatizo kubwa sana, hasa mazao yanayoharibika kama matunda. Hata hayo yasiyo haribika yakikosa wateja bei inashuka wakulima wanakata mitaji hata ya kulima mazao ya chakula.
umeandika vizuri lakini kumbuka kukosa masoko ktk masoko ya nje kunachangiwa na vitu vingi hasa quality ya bidhaa,ku export perishable goods ni too risk hivyo inatubidi kuanzisha viwanda ili kutengeneza final products.Sote tunajua jindi ilivyo ngumu kuanzisha viwanda vya kati na vikubwa kuna vikwazo lukuki ukianza na vya kimataifa kwani nchi za za western zinajua fika nchi fulani ikisha kuwa na viwanda vingi vya kutengeneza final products ndio itakuwa mwanzo wa nchi hiyo kujikomboa=na hakika hawataki hicho kitokee.
sababu ya pili ni mali ghafi za viwanda hivyo lili ufanikishe ni lazima kuhakikisha malighafi zinazozalishwa nchini zitazidi mahitaji kitu ambacho ni vice versa kwa Tanzania
 
Mkuu mimi nilitegemea utakuja na hoja kwamba bajeti 2016/2017 serikali haikupeleka fedha yote iliyopitishwa ktk bajeti. Utekelezaji ulikuwa mdogo sana pengine hata wizara hii ya kilimo haikupewa hata nusu ya hizo fedha(nasisitiza kama hawakupewa yote, mimi sijafuatilia). Labda hii ingekuwa hoja yenye mashiko sana kutetea hoja yako kwamba serikali haikutenga/kuipeleka fedha ya kutosha ktk sekta ya kilimo.
inajua sera sio kilomo,serikali itahukumiwa kwa ulicho kiahidi-sera ni viwanda sio kilimo
 
Bure kabisa! Sio wewe umesema tatizo la njaa halikusababishwa na kufeli kwa sera ya Kilimo bali ni kukosekana kwa mvua za kutosha za masika na vuli? Hujasema hivi? Unadhani upo sahihi? Kwamba njaa ya mara kwa mara nchini inasababishwa na kukosekana mvua za kutosha na sio kufeli kwa sera za Kilimo? Kwanza wewe ni level gani ya elimu? Isije ikawa ninalumbana na Libashite!
kama alijibu kama ulivyo sema basi alikosea sera ya kitu inakuja baada ya tatizo kukithiri katika Jamii,sera ya kilimo kwanza ilikuja kutatua matatizo yote yanayotokana na kilimo kiwemo swala la mvua,hivyo ikitokea njaa ni sawa na kusema sera ya kilimo kwanza ndio iliyo feli
 
hakuna nchi duniani inategemea mvua kustawisha mazao,ndio maana Tanzania kuna Wizara ya kilimo na Umwagiliaji lengo ni kupambana na mabadiliko ya hali ya hela kutotegemea kilimo cha maji ya mvua.
Upo sahihi kabisa. Sasa turudi kwenye swali la msingi kwa hivyo hiyo sera ya kilimo kwanza wakulima walikuwa hawategemei mvua za asili ndio maana hakukuwa na njaa? Kama walitegemea kilimo cha umwagiliaji hiyo miundo mbinu ya umwagiliaji iliyowekezwa imeenda wapi ndani ya muda wa mwaka mmoja baada ya kutelekezwa hiyo sera? Au serikali ilikuwa inatoa ruzuku ya kuwezesha kilimo cha umwagiliaji? Kuwekeza kilimo cha umwagiliaji chenye tija ni mradi au mpango wa muda mrefu hivyo usitegemee serikali ikaingia madarakani na kuanza na kufanikisha ndani ya miezi 10 itakuwa ni ndoto. Unapojaribu kujenga hoja au kujibu hoja au kuuliza swali basi jaribu kuhusianisha na swali au hoja ya msingi ya mleta mada.
 
kama alijibu kama ulivyo sema basi alikosea sera ya kitu inakuja baada ya tatizo kukithiri katika Jamii,sera ya kilimo kwanza ilikuja kutatua matatizo yote yanayotokana na kilimo kiwemo swala la mvua,hivyo ikitokea njaa ni sawa na kusema sera ya kilimo kwanza ndio iliyo feli
Huyo anakupoteza sio mimi niliesema hivyo bali mleta mada. Huyu jamaa alikurupuka tu kuja kunikosoa, endelea kusoma nilivyomjibu na kumuuliza maswali. Mimi ndio nilimpinga hoja mleta mada. Na wala hoja ya msingi haikuwa hiyo aliyoongea yeye.
 
kiufupi serikali ya CCM ilikosea kutoendeleza sera ya kilimo katika nchi yenye watu zaidi ya 70% wanao tegemea kilimo hii ni sawa na kurudisha maendeleo ya watu wako ambao ni zaidi ya nusu ya watanzania wote katika dimbwi la umasiki.
sote tumeshuhudia nchi ikipatwa na uhaba wa chakura hii inatokana na kubadilika kwa sera,hata infalation kubwa inayotokea nchini inasababishwa na gharama za vyakula.
by the way,huwezi kwenda mapinduzi ya viwanda pasipo kupitia mapinduzi ya kilimo
 
Mkuu kwa uchambuzi wako wa kusema njaa imesababishwa na kutelelekezwa sera ya kilimo ni kujitia aibu. Unaangalia taarifa za idara ya hali ya hewa? Unasoma habari mbalimbali na kuangalia taarifa za habari? Umewahi kulima? Tatizo la upungufu wa chakula limetokana na badiliko la hali ya hewa na tabia nchi. Mvua za vuli hazikunyesha za kutosha na sehemu nyingine hazikunyesha kabisa. Na mvua za masika zilichelewa kwa baadhi ya mikoa. Tafadhari fanya tafiti kabla ya kuanza kuandika uongo.
Hahhaha pole sana...hivi tanzania ikiamua kujikita kwenye kilimo cha kisasa tunaweza kufa njaa hata siku moja... Hivi haya mabadiliko ya tabia ya nchi yamekausha mito au maziwa mangapi...?? Dunia ya leo nchi inasema kilimo kwanza na bado inalia kwa kukosa mvua ya uhakika pamoja na kuzungukwa na vyanzo vyote hivi vya maji???
 
Ukiwa na magodoro manne wewe una hoteli, ukiwa na seti ya vikombe una mghahawa wa kitalii
 
Hahhaha pole sana...hivi tanzania ikiamua kujikita kwenye kilimo cha kisasa tunaweza kufa njaa hata siku moja... Hivi haya mabadiliko ya tabia ya nchi yamekausha mito au maziwa mangapi...?? Dunia ya leo nchi inasema kilimo kwanza na bado inalia kwa kukosa mvua ya uhakika pamoja na kuzungukwa na vyanzo vyote hivi vya maji???
Mkuu nakusihi usome vizuri hoja ya mleta mada na hoja yangu. Usichoke kusoma na ikibidi usikimbilie kujibu soma post zinazofuata bila kuchoka hadi hiibya kwako utanielewa nasimamia wapi.
 
Mkuu kwa uchambuzi wako wa kusema njaa imesababishwa na kutelelekezwa sera ya kilimo ni kujitia aibu. Unaangalia taarifa za idara ya hali ya hewa? Unasoma habari mbalimbali na kuangalia taarifa za habari? Umewahi kulima? Tatizo la upungufu wa chakula limetokana na badiliko la hali ya hewa na tabia nchi. Mvua za vuli hazikunyesha za kutosha na sehemu nyingine hazikunyesha kabisa. Na mvua za masika zilichelewa kwa baadhi ya mikoa. Tafadhari fanya tafiti kabla ya kuanza kuandika uongo.

Mkuu;
Hivi taarifa ya hali ya hewa inamsaidiaje mkulima pale kijijini?? We inakusaidia usitoke na gari ikaja kwama kwenye tope hivyo unaacha na kutoka na 4wd yako. Mkulima inamsaidia nini?? Je, umewahi kuona wakulima wameacha kuandaa mashamba mwaka hadi mwaka?? Punguza speed yako ya kuwatetea hao wapanga mipango wa Tz mkuu.
Fikiri; Ikiwa wanajua ongezeko la watu mjini, ni nini kinawanyima kubomoa vijumba vya Manzese na kujenga magorofa 10 - 16 pale kukawa na mji uliopangika?? Unaenda kununua Bombadier na kujenga uanja sijui kijiji gani huko badala ya kutengeneza miundo mbinu ya maana mijini watu wakako kimbilia?? Hatuna vipaumbele
 
kiufupi serikali ya CCM ilikosea kutoendeleza sera ya kilimo katika nchi yenye watu zaidi ya 70% wanao tegemea kilimo hii ni sawa na kurudisha maendeleo ya watu wako ambao ni zaidi ya nusu ya watanzania wote katika dimbwi la umasiki.
sote tumeshuhudia nchi ikipatwa na uhaba wa chakura hii inatokana na kubadilika kwa sera,hata infalation kubwa inayotokea nchini inasababishwa na gharama za vyakula.
by the way,huwezi kwenda mapinduzi ya viwanda pasipo kupitia mapinduzi ya kilimo
Mkuu serikali ya awamu hii haijasusa kilimo kama mleta mada anavyo wapotosha bali imeonge pesa mara 1.5 ya bajeti za kila miaka za miaka ya kilimokwanza embu endelea kusoma post zilizofuata utaona mleta mada kaweka bajeti zote kama nilivyomuomba takwimu.
 
Mkuu;
Hivi taarifa ya hali ya hewa inamsaidiaje mkulima pale kijijini?? We inakusaidia usitoke na gari ikaja kwama kwenye tope hivyo unaacha na kutoka na 4wd yako. Mkulima inamsaidia nini?? Je, umewahi kuona wakulima wameacha kuandaa mashamba mwaka hadi mwaka?? Punguza speed yako ya kuwatetea hao wapanga mipango wa Tz mkuu.
Fikiri; Ikiwa wanajua ongezeko la watu mjini, ni nini kinawanyima kubomoa vijumba vya Manzese na kujenga magorofa 10 - 16 pale kukawa na mji uliopangika?? Unaenda kununua Bombadier na kujenga uanja sijui kijiji gani huko badala ya kutengeneza miundo mbinu ya maana mijini watu wakako kimbilia?? Hatuna vipaumbele
Dear God! Kumbe hata wewe hujui faida za taarifa za hali ya hewa na tabia nchi kwa mkulima? Kama ni hivi Tanzania hatutaendelea kamwe. Zingatia kuna mambo mawili katika habari za idara ya hali ya hewa ambayo kiufundi/kitaalamu yanatofautiana, Kuna tofauti kati ya Tabia nchi na Hali ya hewa ya muda mfupi.
 
Back
Top Bottom