Narudia kusema! hakuna adui mbaya kama pombe!

Kwakweli hakuna adui mbaya wa binadamu ambaye hatumtambui kama POMBE! Pombe ni mbaya jamani! Ubaya wa pombe unakamata fikra! Pombe Ikishakamata fikra zako inakulazimisha uitetee na kuipigania huku ikiendelea kuharibu afya na uchumi wako! Pombe ni mbaya! Ebu fikiria kitu kinaharibu afya yako, uchumi wako, mahusiano na jamii iliyokuzunguka, kinapora uwezo wa kuhudumia familia na watu waliokuzunguka, nk, alafu unatumia nguvu kubwa kuitetea na kuilinda na kuipigania mtu akikuambia madhara yake! Mtu unaweza kuacha vitu vingi hatu mbususu ni rahisi kuacha lakini sio pombe! Jamani pombe???? Mhhhhhh!!!????
Itakuwa umeshakuwa teja kunywa kishkaji
 
Kuna watu wasingezaliwa bila pombe.
 
Oh-ooh, pombe sigara
Naweza wacha bila kung'ang'ana
Lakini, hawa wasichana
Vile nawapenda, ni kama laana

View: https://www.youtube.com/watch?v=u2vt37RZdC8
 
Kila kitu kunahitaji discipline, hata maji tu ya kunywa yanahitaji kiasi, ukipitiliza ni kujiletea maradhi.

Have temperance, thats it!
 
Back
Top Bottom