Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,015
- 17,209
Kwakweli hakuna adui mbaya wa binadamu ambaye hatumtambui kama POMBE! Pombe ni mbaya jamani! Ubaya wa pombe unakamata fikra!
Pombe Ikishakamata fikra zako inakulazimisha uitetee na kuipigania huku ikiendelea kuharibu afya na uchumi wako!
Pombe ni mbaya! Ebu fikiria kitu kinaharibu afya yako, uchumi wako, mahusiano na jamii iliyokuzunguka, kinapora uwezo wa kuhudumia familia na watu waliokuzunguka, nk, halafu unatumia nguvu kubwa kuitetea na kuilinda na kuipigania mtu akikuambia madhara yake! Mtu unaweza kuacha vitu vingi hatu mbususu ni rahisi kuacha lakini sio pombe! Jamani pombe?
Mhhhhhh!!!??