Napendekeza RC Makonda ahamishiwe mkoa mmoja kati ya Simiyu, Mara, Kagera, Kigoma, au Arusha

Mikoa niliyoitaja hapo imekuwa na matatizo sugu yanayohitaji kiongozi jasiri mwenye uzoefu kama vile RC Makonda.
Matatizo yaliyoko katika mikoa hiyo ni pamoja KILIMO cha bangi, uvamizi wa hifadhi zetu unaofanywa na wafugaji Simiyu, Mara, Kagera, Kigoma, uwepo kwa wingi wahamiaji haramu Kigoma, Kagera.
Rc Makonda ni KIJANA mbunifu sana na pia hupenda kushirikisha. Ningependa ahamishiwe mikoa hiyo angalabu mwaka mmoja tu kisha arudishwe tena DAR.
Umuhimu wa kumhamisha ni kama kueneza mbinu za kiuongozi katika mikoa mingine na wilaya kwa sababu ni mbunifu sana.

Watu wanataka aachishwe wewe unataka aamishwe

Mimi nataka alogwe
 
Mikoa niliyoitaja hapo imekuwa na matatizo sugu yanayohitaji kiongozi jasiri mwenye uzoefu kama vile RC Makonda.
Matatizo yaliyoko katika mikoa hiyo ni pamoja KILIMO cha bangi, uvamizi wa hifadhi zetu unaofanywa na wafugaji Simiyu, Mara, Kagera, Kigoma, uwepo kwa wingi wahamiaji haramu Kigoma, Kagera.
Rc Makonda ni KIJANA mbunifu sana na pia hupenda kushirikisha. Ningependa ahamishiwe mikoa hiyo angalabu mwaka mmoja tu kisha arudishwe tena DAR.
Umuhimu wa kumhamisha ni kama kueneza mbinu za kiuongozi katika mikoa mingine na wilaya kwa sababu ni mbunifu sana.
uyo labda ahamishiwe Gambushi shinyanga huko akawe mwenyekiti wa kijiji.
 
Arusha gani unasemea ww hihi nayoinjua,mm au hebu apelekwe kama atamaliza week akiwa hapo
 
Back
Top Bottom