Hivi Obama naye leo hawzi kugoma?nawaza tu lkn kimoyomoyo
Obama hawezi maana Viongozi na Raia wa USA wanaelewa vizuri sana maana ya cheo ni dhamana.
Hivi Obama naye leo hawzi kugoma?nawaza tu lkn kimoyomoyo
Kufuatia Rais wa zamani wa Gambia Bwana Jammeh kung'ang'ania madaraka baada ya kushindwa kwenye Uchaguzi,MKUU WA majeshi Gambia ameonesha au amefanya jambo la kuigwa sana Afrika na Duniani baada ya kukataa kumpa suport Bwana jameh ili ni jambo la kuigwa sana kwani viongozi wengi wa Afrika wanategemea majeshi yao yawaunge mkono katika kubaki madarakani,nampongeza sana Kamanda uyu wa GAMBIA NA ANASTAHILI APEWE TUZO YA NOBEL kwa kuheshimu maamuzi ya Wananchi kwani Viongozi wengi wa Afrika wanatumia vyombo vya usalama ku deploy au kukandamiza Demokrasia
Mbona alimkataa Barrow mwanzo na kusema anamtambua Jammeh tuKweli ni nadra sana katika bara letu la Afrika kuwa na mkuu wa taasisi kama hiyo mwenye kusimamia haki na matakwa ya wananchi.