Napenda kujua kwanini mume na mke wakiishi pamoja muda mrefu wanafanana?

mtoa mada...hii hadithi niliiskia kwa mara ya kwanza uchagani...ila...hakuna ukweli.. Wowote... labda kama watafanana tabia.....
 
Nimekuwa nifuatilia watu wanaishi kama mke na mme na mara nyingi ukiwaangalia wanafanana kama mtu na dada yake.Je nini inasababisha naomba kujuzwa
si kweli,mi wazazi wangu wana zaidi ya miaka 40 pamoja lakini hawafanani,mzee ana pua lake pana na macho tongozi wakati bi mkubwa pua ndogo na macho ya nyege,ulichokizowea ni hiyo jozi yao
 
Nimekuwa nifuatilia watu wanaishi kama mke na mme na mara nyingi ukiwaangalia wanafanana kama mtu na dada yake.Je nini inasababisha naomba kujuzwa


Si kweli, mimi baba yangu mdogo ni mweupe wa asili na mkewe ni mweusi kama mjaluo. Wana miaka 19 ya ndoa na mpaka leo mkewe hajabadilika rangi, yuko vile vile na bado ni mgovi. Yaani yeye kitu kidogo tu atataka kurusha visu ndani bila kujali kuna nani na baba yangu mdogo hana tabia kama hii, ni mstaarab sana.
 
486911d0f20a2091391472b5ea2840c7.jpg
 
Back
Top Bottom