Napenda kujua kwanini mume na mke wakiishi pamoja muda mrefu wanafanana?

Hata marafiki tu wakikaa kwa mda mrefu.
Hiyo ni sababu ya mambo mengi kufanya kwa pamoja na kuwanya uwezo wa kutatua jambo, tabia kuendanA, wakati mwingine hata behaviour nyingi kuanza kuwa sawa kutembea kufanana na kuona kama kufanana kwa kila kitu.
 
Mi nadhani ufanano uliopo hasa ni wa kitabia na matendo..
Unajua watu wakifanana katika style ya kuongea tu utaona wamefanana sana tu
 
Hiyo Kitaalamu Tunaiita love chemistry yani Comb Balanced kwa sababu ya Heart Beat zenu Kuwa same that na Katika kipindi hicho Mwanamke anakuwa na feeling kama za mama Kwa Mtoto utakuta Uko very far But yeye Anahc hatari kabla yako hivyo ndivyo ninavyoelewa wakuu
 
Kuna mtu na mkewe wanafanana unaweza sema ni ndugu kabsaaa.
Lakn siwez sema ni kwa vile wameish mda mref.Huenda imetokea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…