Miss u much..
Lala unono kwa maana huku kwetu ndo nimeingia job
Wazee wa kuzimikia avatar
Hee! Cjui ning'ate kucha....musa naelekea kaanan usinirudishe misri hata kidonda changu nilichotendwa hakijapona unaleta hizi mambo?
Kwa mwonekano tuu!! Umechagua kitu cha ukweli mkuu.
Hee! Cjui ning'ate kucha....musa naelekea kaanan usinirudishe misri hata kidonda changu nilichotendwa hakijapona unaleta hizi mambo?
Ndo yeye huyo laivu!!