OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,004
- 114,341
- Thread starter
- #21
hata mashada hayajanyauka
Kweli nape ni nyumbuNape Nnauye alikuwa mmoja kati ya panel iliyokuwa ikijadili mwelekeo wa serikali ya Rais Samia, akiwa pamoja na Dr. Marcus pale Azam Tv.
Nape alitakiwa kujibu shutuma ya Dr.Marcus kuwa yeye Nape ni moja ya watu waliokuwa mstari wa mbele kukandamiza upatikanaji wa habari kwa kuanzisha sheria ya vyombo vya habari na bunge live.
Nape amejibu kwamba lile lilikuwa jambo la bunge sio yeye. Akaongeza hata yeye angependa bunge liwe live ili wananchi waone mijadala ya wabunge.
My Take
Kumekucha ndugu msomaji,hii ni kabla jogoo hajawika
Hii ndio U turn haswaaa!Yeye si ndiyo aliepeleka huo mswada bungeni kipindi akiwa waziri wa habari bunge nisiwe live leo nini kimemkumba tena masikini😌😔😔
Madaraka na ukweli huwa hawasafiri njia moja!! lazima waachane tu!!Nape Nnauye alikuwa mmoja kati ya panel iliyokuwa ikijadili mwelekeo wa serikali ya Rais Samia, akiwa pamoja na Dr. Marcus pale Azam Tv.
Nape alitakiwa kujibu shutuma ya Dr.Marcus kuwa yeye Nape ni moja ya watu waliokuwa mstari wa mbele kukandamiza upatikanaji wa habari kwa kuanzisha sheria ya vyombo vya habari na bunge live.
Nape amejibu kwamba lile lilikuwa jambo la bunge sio yeye. Akaongeza hata yeye angependa bunge liwe live ili wananchi waone mijadala ya wabunge.
My Take
Kumekucha ndugu msomaji,hii ni kabla jogoo hajawika
Mmh kweli inawezekana nyani ni wale wale ila sasa wapo ndani ya msitu mpya
Mtngazaji angelimuuliza ni kosa la nani?Nape amesema sio kosa lake
Anwasmwawshwa washwwwwaNape Nnauye usituone hatunazo