OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 51,980
- 114,298
Nape Nnauye alikuwa mmoja kati ya panel iliyokuwa ikijadili mwelekeo wa serikali ya Rais Samia, akiwa pamoja na Dr. Marcus pale Azam Tv.
Nape alitakiwa kujibu shutuma ya Dr.Marcus kuwa yeye Nape ni moja ya watu waliokuwa mstari wa mbele kukandamiza upatikanaji wa habari kwa kuanzisha sheria ya vyombo vya habari na bunge live.
Nape amejibu kwamba lile lilikuwa jambo la bunge sio yeye. Akaongeza hata yeye angependa bunge liwe live ili wananchi waone mijadala ya wabunge.
My Take 1
Kumekucha ndugu msomaji,hii ni kabla jogoo hajawika.
My Take 2
Hatimaye media zimepumua,tulishakosa mijadala kama hii. Uoga uliwajaa