Nape Nnauye, akana Serikali ya Awamu ya tano kuzuia Bunge Kuoneshwa Live

Nape hakustahili kuitwa Waziri... Naona kama anatumika kama katibu mwenezi ndani ya uwaziri, bado hajajitambua na hatajitambua tena.. Ovyo kbs
 
Kwahiyo Nape anataka watu mchana wafanye kazi na usiku wasilale wakeshe wakiangalia bunge recorded. Ikifika asubuhi waende tena makazini. Ufanisi wa watu utatoka wapi??
 
Nape hakustahili kuitwa Waziri... Naona kama anatumika kama katibu mwenezi ndani ya uwaziri, bado hajajitambua na hatajitambua tena.. Ovyo kbs
Yaani hiyo wizara haikutendewa haki kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…