Nape Nnauye, akana Serikali ya Awamu ya tano kuzuia Bunge Kuoneshwa Live

Nape hakustahili kuitwa Waziri... Naona kama anatumika kama katibu mwenezi ndani ya uwaziri, bado hajajitambua na hatajitambua tena.. Ovyo kbs
 
Alichojibu Nape yupo sahihi kabisa Kipindi cha BUNGE huoneshwa Usiku Serikali haijakataza.Sema wapambe wengi huwa Wamelala au wako .Mh.Waziri yupo sahihi waache kutulisha Maneno.Watanzania Awamu hii wanaelewa Serikali yao Inawafanyia nini chini ya Uongozi Mahiri wa Mh.JPM hadi kuwapelekea kukosa Hoja zenye Mashiko
Kwahiyo Nape anataka watu mchana wafanye kazi na usiku wasilale wakeshe wakiangalia bunge recorded. Ikifika asubuhi waende tena makazini. Ufanisi wa watu utatoka wapi??
 
Back
Top Bottom