Nape: Namheshimu Lowassa!

Ata mimi namuheshimu sana Lowassa amefanya tumewajua wanafiki wote wa nchi hii.. Bila Lowassa uhenda tungekuwa tunaamini Chadema ni chama cha kupambana na ufisadi ila leo tunajua ni chama cha wenye njaa na wasio na akili timamu.
 
Source : Vichwa vya magazeti!! Mleta Uzi hakuhitaji hata kuingia ndani kujua story ilivyo.
Nape ni kada wa CCM na mtaalamu wa propaganda kwa hivo usishangae hapo kaongea maneno mengi sana kwa sentensi moja tu...........namaanisha huenda hajamaanisha alichosema
 
Chadema walimshauri makufuli akitaka kumaliza tatizo la sukari nchini ukaongee na lowassa amsaidie
Nadhani saizi ccm ndio wameanza kujivuta.
Watu wanaongelea ujenzi Wa flyover 9 dar , wewe umekomaa na sukari!!

Kweli nyumbu ni nyumbu mbinguni na aridhini
 
Nape ni mnafiki na mropokaji....!! Labda sasa busara inaanza kumjia! Akiwa kwenye chama Nafikiria njaa ilikuwa kichwani!! Akawa anaropoka lolote tu! Sasa kama busara imemjia aanze kumtafuta baba yake sasa!! Aachane na majina ya watu!
Hili ndilo jina lake: Nape mwandosya Huyo ndiyo baba yake Mzazi.
 
Ata mimi namuheshimu sana Lowassa amefanya tumewajua wanafiki wote wa nchi hii.. Bila Lowassa uhenda tungekuwa tunaamini Chadema ni chama cha kupambana na ufisadi ila leo tunajua ni chama cha wenye njaa na wasio na akili timamu.
Wewe utakuwa gheto kwa Lugumi pia Umekariri Akili za January na propaganda zilee za kampeni ebu zinduka tumia zako acha kuishi kwa Akili za maadui wa chadema.
 
Kiukweli wana CCM wengi wanatamani Raisi angekuwa Lowasa hata kama angekuwa upinzani maana mambo yangekuwa mazuri sana
 
Nonsense,lowasa nae ni wakujifunza kitu kutoka kwake kweli?
Richmond ni ya Kikwete huko ndipo ungependa ukajifunze? Mabehewa feki ni ya baba yako Mwakyembe huko ndipo unajifunza? Kivuko chakavu ni cha baba yako huko ndipo unajifunza? January Makamba kapiga Dili kibao kwa kivuli cha ikulu na sasa yupo busy na vibali vya sukari Usiku wa manane hufanya vikao Dodoma je? Huko ndipo unajifunza?
 
Chadema walimshauri makufuli akitaka kumaliza tatizo la sukari nchini ukaongee na lowassa amsaidie
Nadhani saizi ccm ndio wameanza kujivuta.
Mzee wa fursa keshakuwa billion tayari kupitia humohumo Wakati wanahaha kujua wafanye nini January Makamba alikuwa busy kupiga Dili za sukari na sasa wataka vibali wote wanapitia kwake.
 
Waziri wa Habari mheshimiwa Nape amesema anamheshimu sana aliyekuwa mgombea wa uraisi kupitia Chadema, Edward Lowasa kwani kuna mambo mengi ameyajifunza kwake!

Source: Vichwa habari Magazetini.

We should learn that, politics is not flexible. Leo unasema hivi, kesho unakana ama kugeuza kile ulichosema jana!
That's why I hate politik
Huyu Nape ndo alikuwa mtu wa kwanza kumshikia kibwebwe Lowasa kuhusu Jengo la UVCCM,Watu tukajua Nape ni mchukia ufisadi na hapo ndo akawa popular,ila hii ya kushadadia Bunge lisionyeshwe kama ilivyokuwa zamani,hapo hata simuelewi hata kidogo
 
Back
Top Bottom