Nape na wenzako, kama hamtaki kuzama jitoseni baharini mapema!!

Nape yupo wizara ya bata lakini anajilazimisha kujiweka kwenye matatizo ya kijinga bila sababu - atakuwa anahusika na sembe huwa mbwiga sio bure, alishawahi kuzira na kutimkia CCJ nini kilimrudisha
Utakua una shida ya akili.
 
Mwanaume kuongeaongea mafumbo ni dalili ya kutojiamini.na ni tabia za kikekike,mwanaume kamili huwa real no matter what
There's no real man mbele ya baba, especially unapokuwa ungali chini ya himaya yake unless umehamua kuitwa muhasi na kutimuliwa ndani ya boma.
 
Patamu hapa pale Beki January halafu mfunga magoli ya mkono Nape ,refa Membe,pembeni kuna washika vibendera Jk na Lowasa,mfadhili wa mechi ni kina Manji na Rostam haka kamechi mbona kagumu sizonje lazima atadata ...hivi sizonje maana yake nini ?


8bb26af598e60e17d13715293309a808.gif
 
Zaburi 10
1 Ee Bwana, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida?

2 Kwa kiburi chake asiye haki mnyonge anafuatiwa kwa ukali; Na wanaswe kwa hila zizo hizo walizoziwaza.

3 Maana mdhalimu hujisifia tamaa ya nafsi yake, Na mwenye choyo humkana Bwana na kumdharau.

4 Mdhalimu kwa kiburi cha uso wake Asema, Hatapatiliza. Jumla ya mawazo yake ni, Hakuna Mungu;

5 Njia zake ni thabiti kila wakati. Hukumu zako ziko juu asizione, Adui zake wote awafyonya.

6 Asema moyoni mwake, Sitaondoshwa, Kizazi baada ya kizazi sitakuwamo taabuni.

7 Kinywa chake kimejaa laana, Na hila na dhuluma. Chini ya ulimi wake kuna madhara na uovu,

8 Hukaa katika maoteo ya vijiji. Mahali pa siri humwua asiye na hatia, Macho yake humvizia mtu duni.

9 Huotea faraghani kama simba pangoni, Huotea amkamate mtu mnyonge. Naam, humkamata mtu mnyonge, Akimkokota wavuni mwake.

10 Hujikunyata na kuinama; Watu duni huanguka kwa nguvu zake.

11 Asema moyoni mwake, Mungu amesahau, Auficha uso wake, haoni kamwe.

12 Bwana, uondoke, Ee Mungu, uuinue mkono wako, Usiwasahau wanyonge.

13 Kwani mdhalimu kumdharau Mungu. Akisema moyoni mwake, Hutapatiliza?

14 Umeona, maana unaangalia madhara na jeuri, Uyatwae mkononi mwako. Mtu duni hukuachia nafsi yake, Maana umekuwa msaidizi wa yatima.

15 Uuvunje mkono wake mdhalimu, Na mbaya, uipatilize dhuluma yake, hata usiione.

16 Bwana ndiye Mfalme milele na milele; Mataifa wamepotea kutoka nchi yake.

17 Bwana, umeisikia tamaa ya wanyonge, Utaitengeneza mioyo yao, utalitega sikio lako.

18 Ili kumhukumu yatima naye aliyeonewa, Binadamu aliye udongo asizidi kudhulumu.
 
Tatizo wana ccm wanafiki
Anatakiwa aibuke mmoja amwambie anapoteza nchi


Kukemea mafisadi ni kuharibu nchi!! Kukemea wauza unga na watumiaji Wa unga ni kuharibu nchi!!! Kubana matumizi ni kuharibu nchi !!! Elimu bure mpaka fotm four ni kuharibu nchi !! Kinunua ndege ni kuharibu nchi! Kutengeneza baranara ni kuharibu nchi!!ewe mtanzania nani aliyekuroga??
 
Mkuu, it is extremely pathetic for a public figure kuongea kwa mafumbo kila kukicha. Ni heri kupisha kama haridhishwi na mwenendo uliopo.
There you are brother. Watu wa lugha wanasema, "a true peace is not merely the absence of tension,but the presence of justice."
Kama hivyo ndivyo,ni wakati muafaka kwa kiongozi kuamua asimame upande upi.
 
Back
Top Bottom