ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 47,895
- 104,261
Watu wanapenda kusikia wanavyotaka kusikia.Tatizo lenu hamjazoea kuona au kusikia objectivity.
Kila kitu nyie mnakiona katika rangi nyeupe au nyeusi tu.
Sasa hapo hata huo sijui ukabila, uchama, au udini unaingiaje kwenye mlinganyo!
Unaweza kunieleza?