Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,612
Kabla matangazo ya bunge hayajaanza kurushwa hewani live, ina maana hakuna la maana lililokuwa likifanyika?. Ni kweli watu wanapaswa kujua kodi zao zinatumikaje, ina maana wabunge hawawezi kupanga matumizi ya kodi za wananchi bila ya wananchi kuwaona wabunge moja kwa moja?.
Vipi kuhusu kuporomoka kwa maadili ndani ya bunge hilo hilo kiasi cha baadhi yao kukejeliana na kudharauliana, hakuwezi kuchangia katika kuporomoka kwa maadili ya jamii inayowatazama live wabunge?.
Vipi kuhusu kuporomoka kwa maadili ndani ya bunge hilo hilo kiasi cha baadhi yao kukejeliana na kudharauliana, hakuwezi kuchangia katika kuporomoka kwa maadili ya jamii inayowatazama live wabunge?.