Napata mashaka na vitendo vya mwenza wangu, sijui ana nia au lengo gani

Mtu mwenye tabia zinazotia mashaka sio wa kukaa naye.We endelea kukaza fuvu,yawezekana mama yako roho imemkataa,mimi pia nikimkataa mtu at first sight ujue kuna shida
Baada ya kuleta uzi wa mama yangu kumkataa, watu wengi walinikejeli bila kujua sababu ni nini, ila sasa nimepata uhakika kwamba Mama yangu hakukosea
 
Habarini wadau wa jukwaa hili, nimepata wasiwasi baada ya kuzidi kwa vitendo ambavyo sivielewi kwa mwenza wangu.

Kwanza amekuwa akidai nimpe T-shirt zangu na nimempa kadhaa kwani nilijua ana lengo la kuzivaa tu, lakini sijawahi kumuona akivaa hata moja na sijui zipo wapi.

Pili sikuhizi baada ya kumaliza tendo, ameanza tabia ya kuwa anatoa kitambaa ndani ya pochi yake na kunifuta kisha anakirusisha ndani ya pochi.

Nilimuuliza kwanini usifue hicho kitambaa ila unakiweka kwenye pochi na kukaa nacho, anasema atakifua siku nyingine, lakini kila mara anakuwa nacho na naona bado hakijafuliwa.

Sina nia au mawazo mabaya juu yake lakini vitendo hivi vinanipa mashaka makubwa. Sielewi lengo lake ni nini hasa.

Pia soma: Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara
Kwisha
 
mmmh sasa wew bado sana , kwan mshirikina unadhan lazm achkue matsht yako au sperms mmh pole lkn ila umejianika mno naww sasa kila kitu ku share
 
Sio kama nimejianika, ila Jf kwangu ni kama kitabu cha maisha yangu, naandika masahibu yangu nikijua ipo siku nitasoma na kukumbuka nyakati za nyuma kwenye maisha yangu.
 
Habarini wadau wa jukwaa hili, nimepata wasiwasi baada ya kuzidi kwa vitendo ambavyo sivielewi kwa mwenza wangu.

Kwanza amekuwa akidai nimpe T-shirt zangu na nimempa kadhaa kwani nilijua ana lengo la kuzivaa tu, lakini sijawahi kumuona akivaa hata moja na sijui zipo wapi.

Pili sikuhizi baada ya kumaliza tendo, ameanza tabia ya kuwa anatoa kitambaa ndani ya pochi yake na kunifuta kisha anakirusisha ndani ya pochi.

Nilimuuliza kwanini usifue hicho kitambaa ila unakiweka kwenye pochi na kukaa nacho, anasema atakifua siku nyingine, lakini kila mara anakuwa nacho na naona bado hakijafuliwa.

Sina nia au mawazo mabaya juu yake lakini vitendo hivi vinanipa mashaka makubwa. Sielewi lengo lake ni nini hasa.

Pia soma: Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara
Anakuroga huyo.Kina mmoja tulikuwa tukimaliza haogi walla kujifuta .
 
Kaulize kilicho mkuta Clinton na bi Monica Lewinsky, ushihidi ulitoka kwenye majimaji yaliyobaki kwenye chupi. Sasa wewe anachota na kitambaa kabisa. Hapa akikuzushia umembaka unachomoa vipi.
 
Nadhani lengo lake halikuwa kuzusha ubakaji, labda alikuwa na malengo mengine
 
Pole,mambo ya ulonzi hayo...kinachofatia utakua usimamishi uume ukiwa na mwanamke mwingine tofauti na yeye...from experience...,kujinasua sasa ni kasheshe
 
🤨Dah, mkuu umesema jambo ambalo sikuwahi kulisikia maisha yangu yote, kwamba anaweza akanimaliza kiasi hicho, alafu ukizingatia kwa sasa hatupo sawa🤔

Kujinasua nikipiga maombi naweza kukwepa hilo?
 
Yaani la kwanza kabisa mteme,huo ni uchawi wa kinyamwezi na huo ukanda maeneo yanoyo zunguka,Mwanangu mmoja aliteseka sana karibia ajiue,sumu ya panya ilikua chini ya siti ya gari..kuongea kama hivi kwa wadau ndo akajua tatizo lipo wapi akaanza recall matukio ndo kugundua wa kwake anaweka kwenye chungu baada ya kumfuta na kukifunika,....alikaa miezi 9 mashine haijasimama kwa WIFE..
Mungu ni mwema leo yupo imara,alitokaje anajua mwenywe..
Kujua tatizo ndo mwanzo wa kujinasua,chukua hatua mkuu

Utakumbuka huu ujumbe leo 30.10.2024 16:49
 
Siku mpige suprise kwake omba gemu,angalia atakapo toa huo mtandio,utakuta na zile tshirt zote kazikusanya sehemu moja na kuzifunika,ka begi hiv,box,trunk,shangazi kaja etc,lakini sio sehemu ya wazi...,kuna mwanajeshi 1,Daaah nouma sana...Cheyo Tabora alikimbia kambi akahamia shambani kwa demu na jembe begani kila siku,kuja kumtoa huko akachizika kidogo akaletwa Dar,mwaka mzima hakua sawa,baadae ndugu zake wakapambana akawa sawa lakin kazi nayo....
Bado mapema,chukua hatua..
 
Back
Top Bottom