mjingamimi JF-Expert Member Aug 3, 2015 41,974 50,622 Jan 26, 2017 #21 Secret Star said: hamia halotel Click to expand... Halotel nao wanaringa.wameshusha kutoka mb 250.mpaka 200.kwa 500.na mb 450 kutoka mb 600.kwa 1000.natafuta laini ya ttcl.
Secret Star said: hamia halotel Click to expand... Halotel nao wanaringa.wameshusha kutoka mb 250.mpaka 200.kwa 500.na mb 450 kutoka mb 600.kwa 1000.natafuta laini ya ttcl.
Mr. MTUI JF-Expert Member Feb 18, 2013 8,130 8,354 Jan 26, 2017 #23 Escobar said: Mpango mzima uko Halotel bana. Kwa mwezi mzima tu 20,000 unapata dakika 400 halotel kwa halotel na dakika 300 mitandao mingine PLUS 2.5 GB Click to expand... 2.5 gb unatumia mwezi mzima.. Huwez kuwa siriaz
Escobar said: Mpango mzima uko Halotel bana. Kwa mwezi mzima tu 20,000 unapata dakika 400 halotel kwa halotel na dakika 300 mitandao mingine PLUS 2.5 GB Click to expand... 2.5 gb unatumia mwezi mzima.. Huwez kuwa siriaz
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 75,430 157,980 Jan 26, 2017 #24 Troll JF said: Hii mitandao naona ni ya wanasiasa mbona haichukuliwi hatua leo 1GB= Tshs. 2,000 200MB = Tshs. 1000 Click to expand... Tatizo ni TCRA
Troll JF said: Hii mitandao naona ni ya wanasiasa mbona haichukuliwi hatua leo 1GB= Tshs. 2,000 200MB = Tshs. 1000 Click to expand... Tatizo ni TCRA
farujeuri Senior Member Jan 22, 2017 153 121 Jan 26, 2017 #25 Bujibuji said: Tatizo ni TCRA Click to expand... Wamefanya nini
faru john junior JF-Expert Member Dec 26, 2016 1,596 1,719 Jan 26, 2017 #26 Troll JF said: Hii mitandao naona ni ya wanasiasa mbona haichukuliwi hatua leo 1GB= Tshs. 2,000 200MB = Tshs. 1000 Click to expand... Kila kukicha bei ya vifurushi inapnda
Troll JF said: Hii mitandao naona ni ya wanasiasa mbona haichukuliwi hatua leo 1GB= Tshs. 2,000 200MB = Tshs. 1000 Click to expand... Kila kukicha bei ya vifurushi inapnda
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 75,430 157,980 Jan 26, 2017 #27 farujeuri said: Wamefanya nini Click to expand... wameshindwa kudhibiti upandaji holela wa bei
mwalidebe JF-Expert Member Mar 27, 2016 425 249 Jan 26, 2017 #29 Karibia Malaika watazima mitandao huitaji kutumia nguvu,ikifika 1000= mb 5 kwisha habari yao
Naki 12 JF-Expert Member Mar 19, 2016 1,246 1,272 Jan 26, 2017 #31 Mhh bora nibaki na airtel uni yangu
Masanyiwa Mabula JF-Expert Member Jan 24, 2017 954 983 Jan 26, 2017 #32 Escobar said: Mpango mzima uko Halotel bana. Kwa mwezi mzima tu 20,000 unapata dakika 400 halotel kwa halotel na dakika 300 mitandao mingine PLUS 2.5 GB Click to expand... Hata hiyo bei bado mkuu. Siyo rafiki kwa watu wa hali ya chini
Escobar said: Mpango mzima uko Halotel bana. Kwa mwezi mzima tu 20,000 unapata dakika 400 halotel kwa halotel na dakika 300 mitandao mingine PLUS 2.5 GB Click to expand... Hata hiyo bei bado mkuu. Siyo rafiki kwa watu wa hali ya chini
M macnova Member Nov 18, 2016 5 2 Jan 26, 2017 #33 Halotel nafuu kidogo Attachments Screenshot_2017-01-26-18-34-29.png 83.9 KB · Views: 29