mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 41,896
- 50,490
Halotel nao wanaringa.wameshusha kutoka mb 250.mpaka 200.kwa 500.na mb 450 kutoka mb 600.kwa 1000.natafuta laini ya ttcl.hamia halotel
Halotel nao wanaringa.wameshusha kutoka mb 250.mpaka 200.kwa 500.na mb 450 kutoka mb 600.kwa 1000.natafuta laini ya ttcl.hamia halotel
2.5 gb unatumia mwezi mzima.. Huwez kuwa siriazMpango mzima uko Halotel bana. Kwa mwezi mzima tu 20,000 unapata dakika 400 halotel kwa halotel na dakika 300 mitandao mingine PLUS 2.5 GB
Tatizo ni TCRAHii mitandao naona ni ya wanasiasa mbona haichukuliwi hatua leo
1GB= Tshs. 2,000
200MB = Tshs. 1000
Kila kukicha bei ya vifurushi inapndaHii mitandao naona ni ya wanasiasa mbona haichukuliwi hatua leo
1GB= Tshs. 2,000
200MB = Tshs. 1000
wameshindwa kudhibiti upandaji holela wa beiWamefanya nini
Hata hiyo bei bado mkuu. Siyo rafiki kwa watu wa hali ya chiniMpango mzima uko Halotel bana. Kwa mwezi mzima tu 20,000 unapata dakika 400 halotel kwa halotel na dakika 300 mitandao mingine PLUS 2.5 GB