Naombeni utaratibu wa kuwa mzanzibari.

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,940
wandugu mimi ni mtanzania bara. nimeona mambo yangu yanaweza kuniendea vyema ikiwa nikiwa mzanzibari. naomba mnijuze taratibu za kuwa mzanzibari kwa mtu anayetokea bara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…