Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

jiulize kama wewe ungekuwa mke wa jamaa halafu ikatokea ukagundua mme wako ana mahusiano na mwanamkwe mwingine ungejisikiaje? adui wa mwanamke ni mwanamke halafu mnakuja huku kulia lia wanaume ni watu wabaya
 
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.

Sasa nifanye nini?

Naombeni ushauri wenu.
Si vizuri kutembea na mume mwanamke mwenzio, jaribu kuwaza wewe ndiyo ungekuwa mke halafu mwanamke mwingine atembee na mumeo ungejisikiaje?
 
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.

Sasa nifanye nini?

Naombeni ushauri wenu.
Ahaaaaaa haya ndo mashariti huyo mme atakayo kupa.

1: atakuse jina la kelvin rafiki yake anaejulikana kwa mkewe
2: au atakusev mlinzi kk security
3 au fund geleji.
4wewe hutompigia simu muda wowote
5:weekend tulia atakutafuta jion akienda kuosha gari
6: ukiumwa usiku hakuna kupiga simu
7: hakuna kupaka lipstic ukiwa nae, mambo ya kuchafulia shat hapana
8: ukiwa nae no perfume
9: mkikutana akiwa na mkewe tuliza mshono hakuna kumsalimia.
10: etc
 
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.

Sasa nifanye nini?

Naombeni ushauri wenu.
Ahaaaaaa haya ndo mashariti huyo mme atakayo kupa.

1: atakusev jina la kelvin rafiki yake anaejulikana kwa mkewe
2: au atakusev mlinzi kk security
3 au fund geleji.
4wewe hutompigia simu muda wowote
5:weekend tulia atakutafuta jion akienda kuosha gari
6: ukiumwa usiku hakuna kupiga simu
7: hakuna kupaka lipstic ukiwa nae, mambo ya kuchafulia shat hapana
8: ukiwa nae no perfume
9: mkikutana akiwa na mkewe tuliza mshono hakuna kumsalimia.
10: mkitoka out wewe utakuwa unakaa na kelvin wakati bwana yako akisoma usalama wa mazingira.yaan ionekane wewe unaonekana na wa kelvin.
11: etc

I hate this stupid life.
 
Haya masharti ni kweli kbs dear,sasa hizo shida zote za nini wkt wakaka wapo wa kutosha mpk wengine wanaleta matangazo love connect kutafuta wake hahaa. Bora kupata wakwako ambaye atakutreat kama his 1st choice.
 
Hivi kwanini watu wamekua na akili fupi kwenye maswala ya mahusiano, kwani mtu akiwa ameoa ndio mwisho wa kupenda au kupendwa halafu wengi mmekazania atakua second option suala hilo la option linatoka wapi wakati mtu tayari anaelewa huyo ni mume wa mtu? Labda kama anataka kumpindua kwa mke wake ila kama swala nimahusiano na hutakua na wivu na mke wake hakuna tatizo cha msingi respect hata hivyo wanaume ni wachache jamani hasa wanaofaa kupendwa ni wachache mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom