Naombeni ushauri kwa hili

huyo mkeo mkiwa tofauti tu stts ya whatsap inakuhusu madongo teh pole sana eb simama kama mwanaume
 
Mwanamke kama huyo natamani aingie mziki wangu...dawa yake ndogo tu wiki nzima sirudi home.
Akipiga namtia blacklist...siku narudi home akiniuliza namfungukia kwamba kwa usengerema unaofanya I will kill you ndio maana niliamua kukaa mbali nawe so please acha u.k.uma wako.


Asiponyooka sio ridhiki yako hiyo.
Khaaa we kweli umerogwa
 
Huyo mwanamke wako kweli ni headache, ila we kama mwanaume unatakiwa uwe na msimamo
Hiyo mpk ya kuekeana status ni too much shows how weak you are.
 
Udhaifu mkubwa unao!
Ndo maana kila aliye legelege anaambiwa mtu wa Dar es Salaam sasa naamini nawe ni wa pande hizo.

Kula ugali mwingi wa dona na maharage kwa wiki kadhaa naamini utabadirika na kuanza kuchukua maamzi mazito.

Chipsi mayai, bokoboko, tambi, mara niongezee mchuzi, viti vyenye sponge, godoro 10nches, maji ya moto hatari sana!

Natamani kila mwana Dar es salaam apelekwe kucheza mgambo nadhani badiriko litaonekana.
 
Kemea na ajue kweli umekasirika. mnunie, Fanya yako, anza tabia za kuchelewa home na kutokula nyumbani. mwezi mwingi atashindwa tu huyo kama anakupenda
 
Ndo maana tunasema wanawake bila vikofi hawaendi, we unafikiri ungekua unampiga kofi kofi kofi na kumwambia usichopenda harudii kamwe!
 
Mm mwenyewe nilikua hivyo hivyo, siku moja nikachat na mdada mmoja ambae nilihisi ananichukulia mume, akaniambia we mwanamke acha wivu.

kilinishuka shuuuuu
 
achana nae mkuu.. we mpotezee na muda wote kaa na simu yako.. ukiona dalili ya kukaa mbali na simu basi zima toa laini.. hapo atatia adabu..!!!!
 
Back
Top Bottom