Keyzer Soze
Member
- Dec 30, 2016
- 27
- 22
Mkuu huyo kwanza kabisa ni mpitaji sio mke wako huyo na kama ni mke wako mwambie live bila chenga hiyo tabia aiache mara moja si nzuri hata kidogo.Habarini wana jamvi? Nina mwaka na nusu sasa tangu nifunge ndoa na sasa tuna mtoto wa kiume ana miezi mitatu,sasa kabla hatujapata mtoto mke wangu alikuwa anabehave kama malaika vile kitu utakachomwelekeza anakuelewa poa sana na sehemu ambayo anaona amekosea atarud chini yanaisha, sasa issue imekuja baada ya kupata mtoto cuz kipindi cha mimba alikuwa na wivu uliopitiliza tofauti na mwanzo,mpaka nkahisi anajifanyisha muda mwingine na ugomvi mkubwa ulikuwa kuhusu simu ambayo mwanzoni alikuwa anaishika lakini anabehave anapokuwa nayo na evidence zote ambazo nlikuwa naona zitamkwaza nafuta mapema tu,lakini sasa hv imefikia mpaka nambadilishia password basi hapo atatuna wiki nzima, nikimwonesha napo inakuwa tabu anaweza kuanzisha chat na mtu akijifanya ni mm saa nyingine hata wale watu wangu wa msingi akimaliza anafuta (hili nilithibitishiwa na watu wanne tofauti like jana mbona sikuelewa unaongelea nn! Nauliza jana tulichat kwan, ndio mtu anakuonesha text zako ambazo katuma wife), na katabia kingine utakuta keshajiweka dp wakati na yeye anasimu yake,na sio kama simuwekagi muda mwingine unakuta anaweka picha like kama za kichokozi na status za kimbea, anabaki anasikilizia kuangalia kwenye cm yake kama ntabadilisha dp yangu,nikibadili mzozo na juzi kilichoniboa kaanzisha chati na kiongozi wangu ofisini ambae namuheshimu sana kwanza kanizidi umri,na hizo chat yeye anaweza anzisha na namba yyte akijisikia yule mother alihisi sio mimi baada ya siku kadhaa akaniita akanambia na kunionesha sms, ikabidi niwe mpole nimwambie hizi kasumba za wife,niliporudi nkamwelezea alichokifanya kwamba hakijanipendeza na nilishawahi kumuonya cha kushangaza basi kajinunisha,huyo mtoto ndio anatumika kama kigezo hapo ntanyimwa hata kumgusa,basi ikabidi niwe mpole,baada ya muda naangalia status yake kaandika "Siui mende kwa nyundo" yani niliona moja kwa moja unanihusu na anajifanyisha makusudi.
Naombeni ushauri wenu ndugu zanguni yani home pamekuwa si sehemu salama ya kuwahi kurud ukitoka kazini.
Tulishakuwa kwenye uhusiano miaka miwili na kitu na alikuwa mtu mmoja understanding sana,na nilishawafata hadi kaka zangu kiimani lakin wengi kwenye ushauri wao wanasema ni kipindi cha mpito,kila mimba huja na mambo yake nakuwa mpole nisimpe tabu yeye na kijana wangu,Utoto unakusumbueni, kwa mwanaume rijali aliyekomaa tena baba wa familia hawezi kuruhusu UJINGA wa mke kumuendesha kama gari bovu kiasi cha kufikia hatua ya kuchart na watu kwenye simu ya mumewe. Simu yangu haina password lkn mke wangu hawezi kutuma sms kwa namba za simu zilizomo, sio heshima, hana adabu mkeo na usipoikomesha tabia hiyo mapema itakugharimu kwakuwa unaiweka ndoa yako matatani
Kwa nilivosoma nikaelewa ni kwamba ameshajifungua mtoto, kumbe ana mimba?Tulishakuwa kwenye uhusiano miaka miwili na kitu na alikuwa mtu mmoja understanding sana,na nilishawafata hadi kaka zangu kiimani lakin wengi kwenye ushauri wao wanasema ni kipindi cha mpito,kila mimba huja na mambo yake nakuwa mpole nisimpe tabu yeye na kijana wangu,
Ameshajifungua lakin katika kutaka ushauri wanasema kila mimba huja mambo yake ndio maana wananiambia ni kipindi cha mpito cuz ana mtoto as long as amejifungua na bado mtoto ni mdogo ndio ana miezi yaenda mitatu now,lile zengwe la mimba linakuwa linamtoka.Kwa nilivosoma nikaelewa ni kwamba ameshajifungua mtoto, kumbe ana mimba?
Wanakufundisha mambo ya kipuuzi mkuu. Komesha tabia mbaya hiyo kabla haijakuharibia ndoa yako. Haiingii akili ni mkeo kuwatumia watu wako sms hadi mabosi wako inaingiliana vp na kujifungua kwake? Anyway ni ndoa yako ww na mkeo na ww ndiye baba wa familiaAmeshajifungua lakin katika kutaka ushauri wanasema kila mimba huja mambo yake ndio maana wananiambia ni kipindi cha mpito cuz ana mtoto as long as amejifungua na bado mtoto ni mdogo ndio ana miezi yaenda mitatu now,lile zengwe la mimba linakuwa linamtoka.