Gluk
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 1,859
- 3,007
Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU
Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo.
Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke hatukuwahi kuwa na ugomvi wowote mm na yeye.
Kila kitu nilijitahidi kumtimizia kadili ya uwezo, na baadae nikamfungulia Duka.
Sasa wiki moja nyuma nilipata safari ya ghafla
nikasafiri baada ya kusafiri nimekaa kama siku tatu mke wangu akaniambia kuwa kuna jirani kapata msiba akumuone.
Basi mm nikamruhusu aende baada ya kwenda masaa kama mawili napigiwa simu na jamaa yangu kuwa kamuona akiwa na jamaa wakiingia ndani Kwa jamaa.
Niliumia Sana kupata taarifa hizo ikabidi nigeuke Kesho yake na kumhoji kuwa ilikuwaje anidanganye kuwa anaenda msibani kumbe si kweli.
Akaniambia kuwa ameenda ila akapotea na wakati anarudi ndo amekutana na jamaa ambaye alikuwa anamtongoza na kuongozana kwenda kwake ila akaniambia kuwa hawakufanya mapenzi.
Sasa nimeshindwa kuamini kuwa kweli hawakufanya na na je mwanamke kama huyu anastahili msamaha hata kama kweli hakucheat?
Pls nisaidieni