Naombeni mwenye ramani ya nyumba ya kisasa

Breadboard

Member
Jun 28, 2023
72
136
Naitaji Raman ya nyumba kwa budget ya 30M
Raman yenye vyumba vitatu
Master room
Sitting room
2plain room
Kitchen
Studying room
Store
Public toilet
UKUBWA WA ENEO NI 70 kwa 40
Screenshot_20250306-130705.png
 
Naitaji Raman ya nyumba kwa budget ya 30M
Raman yenye vyumba

Naitaji Raman ya nyumba kwa budget ya 30M
Raman yenye vyumba vitatu
Master room
Sitting room
2plain room
Kitchen
Studying room
Store
Public toilet
UKUBWA WA ENEO NI 70 kwa 40View attachment 3262690
Mkuu tuwasiliane 0715477041,

Pia waweza pitia Uzi wetu hapa chini Kuona baadhi ya kazi zetu.

 
Una dream ya kujenga nyumba ya 50-100M bado unataka ramani ya mchongo? Ramani ya kupewa? Seriously?
 
Raman ya nyumba hii njoo nikupe Raman yake full kwa elf 50 Raman hii ni ya nyumba ya vyumba 3 vya kulala

Ina chumba kimoja master
Ina vyumba2 vya kawaida yaan havina vyoo
Kuna seble
Kuna jiko
Kuna Dinning
Kuna choo cha wageni ndani
Kuna store

Sasa kwanini Ujenge bila kuwa na raman ya kisasa?
Nitakupa ramani zifuatazo
Floor plan
Foundation plan
Roof plan
Section
Septic tank and soak way pit
Elevations
Na 3d zoote yaani hizo picha
Raman zote zimekamilika karibu ujenge kwa raman usijenge bila raman ya nyumba
Kama hujaanza ujenzi hasa wa nyumba yako ya kwanza ya kuishi jitahidi sana upate elimu ya kutosha kwenye
Ununuzi wa ardhi/kiwanja
Mafundi wa kila idara
Makisio ya vifaa, ufundi
Muda sahihi wa kuanza ujenzi
Nini cha kuanza kufanya nknk
Fanya utafiti wa kutosha.. Pata makisio ya ujenzi kwa kila hatua kwa mafundi tofauti
Ukiachana na changamoto za kuongezewa gharama kwenye vifaa na gharama za ufundi ama kuibiwa kwa vifaa vilivyokwisha nunuliwa kuna hili la kuharibiwa kazi
Na kazi iliyoharibiwa ina changamoto kubwa zaidi za kurekebisha kuliko kazi mpya
Kuna mengi sana ya kuambiana hapa lakini machache makubwa ni haya
1. Usifanye malipo ya ardhi/kiwanja bila kujihakikishia umiliki wake, migogoro, mipaka nk
2. Usifanye malipo bila kujihakikishia serikalini ramani ya mipango miji
3. Usianze ujenzi bila kufanya ibada ya kutakasa ardhi.. Ukishindwa hapo basi ibada ya kuitakasa nyumba
4. Usianze ujenzi bila kujihakikishia sehemu salama ya kuweka vifaa vyote vitakavyohusika kwenye ujenzi
5. Usianze ujenzi kwa kufanya mkupuo wa manunuzi.. Anza na vitakavyohitajika kwa wakati huo tu.. Na kama kina baadhi utavipata mapema kwa bei nzuri kaa navyo mwenyewe
6. Piga kenchi ukiwa umejihakikishia uwepo wa mabati
7. Usifanye wiring kama hakuna mtu anayekaa hapo.. Utajuta
8. Usiiache nyumba tupu/peke yake unapoelekea kumaliza ujenzi wa awali
9. Kumbuka gharama za finishing ndio kaburi la pesa😂 hivyo jiandae
10. Jihadhari na majirani...😀🤔🙇🏿‍♂
 
Back
Top Bottom