Duuuu.....🤣🤣🤣 Si Uulize kama UelewiMkuu nisahihishe kama niko sawa
Hii adapter kazi yake ni kuvuta wave za Wi-fi iliombali mfano source ya Wifi iko getini wewe uko chumbani na PC yake unaweka aka kadude then zinakuja orodha ya Wifi zilizokaribu nawe unaweka password unaanza kutumia...Hii ndo kazi yake??.
Mkuu funguka ni desktop ama laptop kama ni HP model ipi?Computer ni HP
Ulikuwa unamcheka mwenzako hapo juu kumbe na wewe ndo walewale.Computer ni HP
DoooohModel....Processor au
Acha utotoDuuuu.....🤣🤣🤣 Si Uulize kama Uelewi
Kwan wewe hujaona ameuliza? Vitu vingine vinahitaji positivity.Duuuu.....🤣🤣🤣 Si Uulize kama Uelewi
ndio ivyoivyo wala ujakoseaMkuu nisahihishe kama niko sawa
Hii adapter kazi yake ni kuvuta wave za Wi-fi iliombali mfano source ya Wifi iko getini wewe uko chumbani na PC yake unaweka aka kadude then zinakuja orodha ya Wifi zilizokaribu nawe unaweka password unaanza kutumia...Hii ndo kazi yake??.
Mimi nataka kuitumia kwenye desktop. Je washauri ninunue ipiMkuu funguka ni desktop ama laptop kama ni HP model ipi?
Tafuta za Pcie ambazo Unachomeka ndani ya desktop zina Bluetooth Na wifi humo humo zipo kama hiviMimi nataka kuitumia kwenye desktop. Je washauri ninunue ipi
Umesema nikwamatumizi ya kawaida wifi 5 na je wifi 6 ni kwamatumizi gani labda?Tafuta za Pcie ambazo Unachomeka ndani ya desktop zina Bluetooth Na wifi humo humo zipo kama hivi
View attachment 2814017
Za wifi 5 minimum ni kama 20,000-30,000 Aliexpress mpaka ina kufikia na za wifi 6 ni kama 40,000-50,000.
Kwa matumizi ya kawaida Wifi 5 inatosha hata router zetu nyingi kibongo bongo zinaishia hapo ila kama unataka future proof chukua ya wifi 6.
Wifi 6 ina speed zaidi kama unacheza games, una stream na kufanya kazi nzito inahitajika.Umesema nikwamatumizi ya kawaida wifi 5 na je wifi 6 ni kwamatumizi gani labda?
Na kama mtu ana laptop ni adapter gani unam recommend, maana nataka ku install parrot os sasa nataka nijaribu hacking moja ya wifi.
Tofauti ya hiyo na hii iko wapi mkuu sina idea kwenye hiliTafuta za Pcie ambazo Unachomeka ndani ya desktop zina Bluetooth Na wifi humo humo zipo kama hivi
View attachment 2814017
Za wifi 5 minimum ni kama 20,000-30,000 Aliexpress mpaka ina kufikia na za wifi 6 ni kama 40,000-50,000.
Kwa matumizi ya kawaida Wifi 5 inatosha hata router zetu nyingi kibongo bongo zinaishia hapo ila kama unataka future proof chukua ya wifi 6.
Hii inachomekwa kwenye usb ambayo ni slow, theoretical usb 2.0 haizidi 480mbps (60MBps), wakati zile nilizokutajia zinatumia Pcie ama M2 ambazo ni 64Gbps ama zaidi. Pia hizi nyingi ni wifi 4 kushuka pcie nilizokuekea ni wifi 5/6Tofauti ya hiyo na hii iko wapi mkuu sina idea kwenye hili
Hapo shukrani nmekuelewa...Hii inachomekwa kwenye usb ambayo ni slow, theoretical usb 2.0 haizidi 480mbps (60MBps), wakati zile nilizokutajia zinatumia Pcie ama M2 ambazo ni 64Gbps ama zaidi. Pia hizi nyingi ni wifi 4 kushuka pcie nilizokuekea ni wifi 5/6
Pia ubora, hivi mara kwa mara vinakufa, vile ni intel unakaa navyo hadi unasahau.
Nawezaje kujua laptop yangu ina support mfumo upi wa wifi adapter?Wifi 6 ina speed zaidi kama unacheza games, una stream na kufanya kazi nzito inahitajika.
Laptop nunua wifi za M2 za intel zipo kama hivi.
View attachment 2814513
Sema angalia kwanza laptop yako inakubali mfumo upi, M2, msata Etc ununue according to mfumo wako.