Habari za muda huu ndugu zangu.
Napenda kuandika ujumbe huu kwenu kuomba MSAADA wa mawazo, pesa ama kazi.
Mm Ni kijana wa kiume( msukuma), mhitimu wa chuo, course ya bachelor of science in taxation(TRA tax officer). Nmemaliza mwaka huu Bado Niko hapa dar kuzunguka kujikwamua kiuchumi.
HISTORIA YANGU YA UTAFUTAJI.
° wakati nikiwa primary, secondary nilikuwa nafanya kazi za ujenzi, kubeba mizigo kwenye magodown, na nying sana za kufanana na hizo(kufupisha story)ili kulea familia yangu huku nikiendelea na masomo yangu, ambapo mzee wangu alikuwa mgonjwa so jukumu la kulea familia ya watoto sita ikawa kwangu.
° hivyo hivyo mpaka chuo nimefanya the same thing. Wakati wa chuo maisha hayakuwa magumu sana maana nilikuwa napata boom na huku napata pesa zangu binafsi kupitia kazi km hizo nilizofanya awali,
° kwa Sasa yamekuwa magumu mno, kazi hzo Tena zmekuwa ngumu mtaani nafanya Ila pesa haitoshi, ukipata Leo unakaa wiki hata tatu hamna kazi, ndipo nikaamua kwenda kariakoo kubeba mizigo kwenye ofisi za kusafirisha mizigo kazi niliipenda maana napenda kufanya kazi hata bila kulala huwa sioni shida kabsa, lakini malipo yake sikuweza kulidhika nayo ndipo nikaamua kuachana nayo maana nafanya kazi kutwa nzima naunganisha usiku mpaka asubuhi KIFUPI naamkia kazini nalala kazini lakin unalipwa 25 na hapo tumepiga kazi, nimekunywa maji, kula chakula unajikuta unarudi na elf 14 nyumbani ambapo siku inayofuata hamuendi wanaenda kikosi kingne ambacho kilikuwa kimepumzika wakati nyie mnafanya kazi, ile elf14 haiongozeki Tena unaitumia hyo siku ambayo unapumzika, Sasa inaniwia ugumi sana mpaka nmeamua kuachana nayo.
°nasema kipato hakitoshi walau hata kidogo kwakuwa nimepanga, nyumbani siwez kurudi kwa Sababu hakuna Cha maana Cha kufanya hatuna mifugo, mashamba Wala asset yoyote.
° kwa kipindi hiki nasaidiwa na mwanadada ambaye Ni mpenzi wangu ambaye naye maisha ya nyumbani kwao hatutofautiani na kwetu hivyo anazijua shida ( nimesoma naye darasa moja hapa chuoni), Ila yeye aliwahi kupata kazi lakin licha ya kunipush kidogo anachopata Kuna dalili zote kabsa za kuachana maana amebadilika sana, Sasa ananiweka kwenye wakati mgumu ndiyo maana namm nahitaji nipate kitu Cha kufanya niondokane na mawazo yasiyo ya msingi,
° Cha msingi nahitaji kazi yoyote hata kazi ngumu, ama za ofisini zote hizo nitafanya (ambazo nitafanya kila siku) nitafanya kwa bidii zote hakika.
° kwa upande wangu nataman sana nifungue ofisi yangu Yan tatizo Sina mtaji
°naomba KUSAIDIWA kwa yeyote atakayewiwa (Ila huwa sifanyi kazi siku ya jumamosi) namba ya simu Ni 0764847468
NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI