Naomba wazo zuri la Biashara kwa Mtaji wa Milioni 2

ndoige

Senior Member
Oct 14, 2022
150
133
Habari wana JF,

Nimekua nikiishi Kwa muda mrefu nikiwaza nifanye jambo gani Ili angalau nipige hatua mbele?
Lakini nmekuja kugundua jambo Moja ambalo ni ukweli mchungu, Ukiwa na Hela ni rahisi kupata Hela
Hivo nilikua nauliza kama Kuna mtu anaweza kunisimamia kwenye vipengele tutakavyokubaliana namuhakikishia tutapiga hatua.
Nahitaji partner nimshirikishe katika biashara hii akiwa na mtaji wa 2M
 
Jaribu kupitia huo uzi mkuu,huwezi kukosa mawili matatu
 
Habari wana jf, nmekua nikiishi Kwa muda mrefu nikiwaza nifanye jambo gani Ili angalau nipige hatua mbele?
Lakini nmekuja kugundua jambo Moja ambalo ni ukweli mchungu, Ukiwa na Hela ni rahisi kupata Hela
Hivo nilikua nauliza kama Kuna mtu anaweza kunisimamia kwenye vipengele tutakavyokubaliana namuhakikishia tutapiga hatua
Sasa mkuu mbona hujaeleweka mwaga kila kitu hapa ili tuone tunakiusaidia je ?
 
Kwa hapa Dar watu wengi Wanapenda vitu vyepesi na vya haraka haraka kama fast food , Mimi na uzoefu kwenye sector ya kuchoma na kukaanga kuku, maana kuku ni moja ya mbonga inayoliwa sana ,Nahitaji mtu ambae anaweza kua na million 2 Kwa hapa dar es salaam alafu tukafanya partnership,Mimi nikawa controller wake kutokana na uzoefu nilionao wa biashara za kuku tukafungua location kama 3 ambapo Kila location inaweza gharimu kama laki 4 had 5
Faida : Kila kuku 1 anachukuliwa kutoka shambani Kwa sh 6500 na anakuja kuuzwa after kutengenezwa na kukaangwa au kuchomwa Kwa 9000 Kwa sehem local ambayo haiko branded....kwenye kuku 20 Kwa siku ukitoa gharama zote basi faida haipungui 25 ,je kama una hzo location 3 ....Ina maana 75k Kwa siku ni rahisi sana kuipata
 
Jaribu kupitia huo uzi mkuu,huwezi kukosa mawili matatu
Asante ,nmeuona acha ni usome taratibu
 
Kwa hapa Dar watu wengi Wanapenda vitu vyepesi na vya haraka haraka kama fast food , Mimi na uzoefu kwenye sector ya kuchoma na kukaanga kuku, maana kuku ni moja ya mbonga inayoliwa sana ,Nahitaji mtu ambae anaweza kua na million 2 Kwa hapa dar es salaam alafu tukafanya partnership,Mimi nikawa controller wake kutokana na uzoefu nilionao wa biashara za kuku tukafungua location kama 3 ambapo Kila location inaweza gharimu kama laki 4 had 5
Faida : Kila kuku 1 anachukuliwa kutoka shambani Kwa sh 6500 na anakuja kuuzwa after kutengenezwa na kukaangwa au kuchomwa Kwa 9000 Kwa sehem local ambayo haiko branded....kwenye kuku 20 Kwa siku ukitoa gharama zote basi faida haipungui 25 ,je kama una hzo location 3 ....Ina maana 75k Kwa siku ni rahisi sana kuipata
Tatizo ni waminifu vijana wasiku hizi niwezi, anesema nimempiga saundi na kaitika mda wa kufuatilia mtu haupo japo pesa ipo.
 
Hilo sio tatzo ,misingi itakayokuepo kati yetu itakua very strictly alafu Kuna time lazima wote tuhusike 100% Ili tujue rotation yetu ipo Kwa kiasi gan
 
Kwa hapa Dar watu wengi Wanapenda vitu vyepesi na vya haraka haraka kama fast food , Mimi na uzoefu kwenye sector ya kuchoma na kukaanga kuku, maana kuku ni moja ya mbonga inayoliwa sana ,Nahitaji mtu ambae anaweza kua na million 2 Kwa hapa dar es salaam alafu tukafanya partnership,Mimi nikawa controller wake kutokana na uzoefu nilionao wa biashara za kuku tukafungua location kama 3 ambapo Kila location inaweza gharimu kama laki 4 had 5
Faida : Kila kuku 1 anachukuliwa kutoka shambani Kwa sh 6500 na anakuja kuuzwa after kutengenezwa na kukaangwa au kuchomwa Kwa 9000 Kwa sehem local ambayo haiko branded....kwenye kuku 20 Kwa siku ukitoa gharama zote basi faida haipungui 25 ,je kama una hzo location 3 ....Ina maana 75k Kwa siku ni rahisi sana kuipata
Kweli thread umekosea heading dooh. Kwaheri
 
Mkuu kila siku uhakika kuuza kuku 20? Utagombana na watu kwa hayo makadirio

Sawa tuseme faida 75k kwa siku, wewe gawio/pato lako lmekaa vp apo?
Nmeweka kadirio la kuku 20 lakini lazima wote tufanye survey ya siku 2 au 3 na utajua mnaingiza nini
Makadirio yakiwa hvo 75k Kwa siku inategemea na huyo partner amekubali kuhusika kwenye biashara kama partner au amekukopesha nguvu
Kama amekukopesha nguvu kwamba anaitaka Hela yake ndani ya muda fulan basi sio mbaya akichukua 50k
Ila kama ni partner basi mnagawana 25k Kila mtu na 25k inakaa kwenye akaunti ya pamoja mpaka pale tutakapoamua kuongezea jambo lingine
 
Kwa hapa Dar watu wengi Wanapenda vitu vyepesi na vya haraka haraka kama fast food , Mimi na uzoefu kwenye sector ya kuchoma na kukaanga kuku, maana kuku ni moja ya mbonga inayoliwa sana ,Nahitaji mtu ambae anaweza kua na million 2 Kwa hapa dar es salaam alafu tukafanya partnership,Mimi nikawa controller wake kutokana na uzoefu nilionao wa biashara za kuku tukafungua location kama 3 ambapo Kila location inaweza gharimu kama laki 4 had 5
Faida : Kila kuku 1 anachukuliwa kutoka shambani Kwa sh 6500 na anakuja kuuzwa after kutengenezwa na kukaangwa au kuchomwa Kwa 9000 Kwa sehem local ambayo haiko branded....kwenye kuku 20 Kwa siku ukitoa gharama zote basi faida haipungui 25 ,je kama una hzo location 3 ....Ina maana 75k Kwa siku ni rahisi sana kuipata
Kwahyo WEWE hauna pesa yeyote ya kuweka mezan ila una hiyo aidia tu ??
 
Ulishawahi kuifanya hii na kweli kuku 20 wanauzika Kwa siku? au unaongea tu kama nadhalia.
 
Talking from experience, na hao ni kuku wa kuchoma katika low populated area kama kimara temboni , ila Kuna maeneo ya high populated area watu wanauza zaid ya kuku 80 per day ... Ni location tu
 
Back
Top Bottom