Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,141
- 3,838
Ok, Tuanzie kwako kaka, we unayafanya haya!? Umefikia wapi kwa sasa!? Ni nini unajivunia kwa sasa tangu uanze na passion yako hiiNa ndio sababu ambayo inafanya sector ya computer humu nchini isiendelee kwa sababu watu wengi hawana passion Na programming kama walikuwa nayo wakina billgate Na zuckernburg kabla hata hawajatengeneza hela.Kila MTU anaweza hela kwanza passion Na fun ya ku solve problems watu hawaijengi wao ni programming for money.Programming is supposed to be fun una debug code unagundua vulnerabilities una modify system una solve problems hela ndyo zitakuja zenyewe